Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inadaiwa ni dogo anayeimba RNB ila sijui anaitwa nani..
Sasa watu wanaona wadhamini 2 wa million 7 kila mmoja hawana + mawakili so wameona wajiliwaze tu na hizi vitu. Cc kesi uchochezi.Hivi ni kweli JF tunaweza tukaleteana habari za udaku/umbea kama hizi!?
Aiseeee, Mungu saidia JF irudi ilipokuwapo.
HeriMusic, naona anatafuta kiki kwa kikongwe.
Yap dogo anasauti flani hivi!!Ila kanyimbo katam.
mwenyewee...Wametaka kufanana na dogo flani anaitwa [/b]HERI MUZIKI ameimba wimbo unaitwa nakukumbukaga......
Atakayeweza alete video yake hapa tuoanishe
Kama benpol hiv alivyokuw anaimbaYap dogo anasauti flani hivi!!
Ndo huyo heri muzik aiseeWametaka kufanana na dogo flani anaitwa [/b]HERI MUZIKI ameimba wimbo unaitwa nakukumbukaga......
Atakayeweza alete video yake hapa tuoanishe