Diva anaswa akila denda na dogo aliyemzidi umri

Diva anaswa akila denda na dogo aliyemzidi umri

Hivi ni kweli JF tunaweza tukaleteana habari za udaku/umbea kama hizi!?

Aiseeee, Mungu saidia JF irudi ilipokuwapo.
Sasa watu wanaona wadhamini 2 wa million 7 kila mmoja hawana + mawakili so wameona wajiliwaze tu na hizi vitu. Cc kesi uchochezi.
 
Anaitwa heri music, huyo nae ni msichana au bora msichana
 
Hawa madem cku iz wanapenda vitoto kwavle tu wazee wenzao hawawataki tena
 
Tunamuomba On Sygallet apitie wimbo wa huyu dogo atuambie kama unaleta maana katika lugha ya kiswahili Neno [HASHTAG]#NAKUKUMBUKAGA[/HASHTAG] ni kiswahili au kiswahili cha jikoni aka kilugha?
 
Duhhhhh hakika jamal malinzi kapata mtoto hapo maana si mchezo aiseeeh!!
 
Duh achana na kubadilishana lita ila uyo dogo kanifanya ni-download track yake muda huu simply ni ngoma tamu kwa kipindi hiki ambacho tumezoe kusikia matakataka hii kiki itakusaidia dogo malofa kama mimi tumekujua.
 
Back
Top Bottom