Diva aonyesha Mjengo wake mpya

Kajitahidi mtoto wa kike ila sema sijui kwanini wanaume wanamfanyaga hivyo yaani
 

Kuna Mtu hivi juzi kati tu aliniambia kwamba Biashara ya Dawa za Kulevya inaendelea na tena safari hii ndiyo inafanyika ' smoothly ' kabisa ambapo sasa haiuzwi tena hadharani bali kuna ' Vijiwe ' vyao ' maalum ' kabisa ambavyo ukiwa mjinga / ngumbaru huwezi kujua chochote.
 
Nyuba kama banda la njiwa..
Anajichoresha tu. Bora angekausha tu
 
Yako iko wapi? Nimefuatilia comments nyingi humu, pomoja na hii ya kwako ki ukweli bado tuko mbali sana na uhalisia wa mambo. Kwa hatua aliyoifanya huyu Bi dada ni hatua nzuri sana na si ya kuibeza kama wengi wamefanya humu, lakini ukiwauliza hao walioiponda hiyo nyumba ya Bi dada wana nini cha maana hakuna kitu, sana sana walio wengi wanakaa nyumba za kupanga, hata kiwanja cha kujenga choo hana uwezo wa kununua, ila akiwa humu ndio mtaalam wa kuponda jitihada za mwenzake, hayo sio maisha, huyu dada ki ukweli amejitahidi sana, tumsapoti tu afikie malengo yake, atakapofanikiwa Mimi na wewe tutakuwa tumejifunza kitu ambacho kitatutoa.
 
Nimekupenda bure kabisa, tupongeze jitihada za anayefanya, kama anakosea kufanya tumuelekeze kufanya vizuri ,
 
Nyumba Nzuri ila ameezeka bati za kishamba!
 
..aisee eti administratïon block uliesema hivo mungu hataki hata kukuona...hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…