Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
mmmh wala acha uongoila Diva ni mtamu aisee acheni utani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmh wala acha uongoila Diva ni mtamu aisee acheni utani
Kachora mwenyewe😛Hongera ila mchora ramani duh
Hongera lkn naye kiherehere si angesubiri akamilishe? Ziko nuksi asije akashangaa ikaishia hapo hapo...mimi nikiona mtu ana kihere here sana au furaha kupitiliza wakati anajenga huwa napata wasi hajengi kwa hela zakeDiva The Bawse sio mtu wa mchezo mchezo, amewaonesha mashabiki jambo ambalo limewashtua katika mtandao wa Instagram.
View attachment 466185
Mtangazaji huyo wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, amepost picha katika mtandao huo ya mjengo wake anaodai anaujenga huku akiweka wazi kuwa utakamilika ifikapo mwaka 2018.
“Tusichukuliane POA ila nene Hard work Pays. Aisee, don giv Up guys !. focus and Msidharau Online ads , Haya Matangazo ya Insta By 2018 yatamaliza Hii nyumba yangu. Tuseme Inshaallah'', ameandika Diva katika picha ya nyumba
hiyo.
Endapo nyumba hiyo itakamilika itamfanya mtangazaji huyo kuwa miongoni mwa mastaa wenye mijengo mikali hapa Bongo.
Chanzo: Bongo 5
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo kama sio Chanika basi Vikindu [emoji3]
Nyumba kama mnara wa babeli
Angeomba na ushauri basi,sasa hilo si godown
Ametumia pesa nyingi kujenga godown la kuishi... angepata mshauri wa ramani ingemsaidia sana...
hhaaaaahaa naona km godown hv,ukiweka na hz bati....utathani yale ya stakabathi ghalani
Yanaitwa unapaulia MASUFULIA!!!
Administration block
Ramani ya hospital
Naona anataka kufungua kanisa au godown sema kakosea tu kuandika akasema nyumba.
Chini ukumbi, juu nyumba
Hili ni godown la korosho huko kwao mtwara!
Mwanangu hiyo ya Adds inakuwaje?kujor ads kumeharibu biashara ya matangazo insta... enz zile ukiwa na followers wengi hulali njaa
Solar panel zinawekwa kabla ya "bati"??Hizo kwenye paa zinazong'aa ni solar panels au.....?
Kwn bati zisizo na rangi,,, si nyumba?Nyumb gani ss hy ameshindwa kuweka hata bati za rangiii....!!