Diva aonyesha Mjengo wake mpya

Ametumia pesa nyingi kujenga godown la kuishi... angepata mshauri wa ramani ingemsaidia sana...
 
Architecture atafutwe mara moja hiyo nyumba ya kuishi ama ukumbi wa mikutano na nikosa la jinai nyumba kama hiyo kwa bati hizo,
Ni kama mtu anunue mbao za mihama,au minazi apauliye bati za vigae haileti maana.
 
iwe shapealess iwe ghorofa la mabati iwe hakuna ground floor ni ya kwake.
wengine humu wanaishi stoo chumba kimoja kitanda + ndoo za maji + vyombo + magunia ya mkaa + cup board na mibegi ya kusafiria vyote hivi ndani ya chumba kimoja cha futi 10 tu
siku zote mtu mwenye mafanikio ndio anaechukiwa check it out
keep in touch
 
Hongera kwa Diva, wanawake tunaweza sana Ku hard work Tuseme InshaAllah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…