Diva aonyesha Mjengo wake mpya

Inawezekana ni yake au sio yake, ila kama ni yake hongera zake, na kwa mshahara wa clouds kujenga nyumba kama hiyo amepiga hatua
 
Sasa wapi nimesema ni kibanda cha makuti mkuu.
Au dishi limecheza.
Uliposema "nyodo alizotoa hazilingani kabisa na hiyo nyumba (mjengo)" ulikua na maana gani zaidi ya kuidharau? waswahili bwana mmeumbwa kukosoa kosoa tu kwa kila jambo la wenzenu, nyodo ni moja wa tabia ya mwanamke
 
Naona anataka kufungua kanisa au godown sema kakosea tu kuandika akasema nyumba.
 
Inawezekana kabisa ni yake maana kaezeka kwa bati za kawaida, ndo dada zetu walivyo kwenye ujenzi. Hawachelewi kuvaa suti na kandambili. Anyways, hongera sana.
 
ila kama kweli ni yake.. hongera zake..

usawa huu kusimamisha chumba na sebule tu ishu.. yeye ameweza..


maana najua humu wengi wetu hata msingi tu hatuna.. ila tumebaki tunakosoa tu kwamba bati za bugurun sijui nyumba kama kanisa..

moyoni tunajijua hali zetu
 
mchora ramani nahsi ana certficate ya electronic kwa kweli

√√kama vile "Nenda -Chini" (swahl-english) lool
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…