Diva aonyesha Mjengo wake mpya

Hili jengo ndiyo lililo disign niwa Yael Perry nini!

Hilo jengo limekaa kama kiwanda cha kutengeneza Nuclear Bomb
 
Asante dada diva tumekuelewa
 
Hiyo nyumba ni ya Malinzi.
 
Bora usingeonyesha mana kwanza ramani sijui uliichorea wapi...lakini ukiangalia bati ghorofa na bati gadge 32 kweli kweli????? Nondo hizo nazo duh...hii nyumba ni hatari kwa usalama wa mmiliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…