Diva aonyesha Mjengo wake mpya

Diva aonyesha Mjengo wake mpya

sasa kuhangaika na ghorofa uchwara ndo nini? c angejenga tu nyumba ya kawaida mfyuuu, nyumba inatisha
Hahahaa.... Ninachokiona, hiyo nyumba pangefaa sana kama kingekuwa kituo cha Polisi.
 
Naomba ukiponda weka na picha ya nyumba yako ili tukuelewe ukisema hilo ni banda la kuku.
Wengi wa tunaoponda hata foundation hatuijui, hata kama kakosea kwenye ramani, lakini watz tuna roho mbaya.
 
hilo ghorofa mwenzangu kama banda la kuku,mmh sijui hyo designer kamtoa wap
mkuu hajasema ni ya kuishi au ya biashara

, huwezi jua kama atakuwa anatuniza unga

maana bei yake siku hzi ni 1800 Kwa kilo
 
Angekamilisha kwanza ujenzi, ahamie ndo aposti!
 
Back
Top Bottom