huyu ni mdudu anayefanana na mende na hasa wanakuwa rangi ya kijani kibichi, nilikuwa nawaona sana tabora kipindi cha masika, mdudu huyu anasifika kwa kutoa harufu kali sana kama ya karo za mavi, akiingia kwenye chakula hakiliki, nguo haivaliki, lazma ukimbie, hang'ati ila ushuzi wake ndugu usipime,Gundy ni kitu gain?
wenyewe wanaitaga power of pussy😀😀Mkuu pale kwenye mambo ya naniliu ndio pake,kiba kishakua ka teja
ha haaa haaaa ingependeza kama ungeweka pichadiva naye nyapu nyapubtu
UkwajuGundy ni kitu gain?
Saana!Diva anampenda Kiba kimahaba hasa mpaka anashindwa kujizuia,kuna kipindi alimvaa Jokate bila hata sababu,alimtolea maneno ya kejeri mpaka tukashangaa?!yaani bila sababu...kumbe Ni mahaba yake kwa Alikiba maskini[emoji23][emoji38]Huo ni wivu tuu... Kiba kashindwa mwenyewe halafu ana singiziwa Jokate?
Diva huwa anampenda kiba
Pia anataka kufanana na digidigi.......anapendelea kula vyurahuyu ni mdudu anayefanana na mende na hasa wanakuwa rangi ya kijani kibichi, nilikuwa nawaona sana tabora kipindi cha masika, mdudu huyu anasifika kwa kutoa harufu kali sana kama ya karo za mavi, akiingia kwenye chakula hakiliki, nguo haivaliki, lazma ukimbie, hang'ati ila ushuzi wake ndugu usipime,
Jamn mm naichukia hyo kapo ya kiba na jokate[emoji35]yaan jokate haendan kabisa na kiba jamaniii...hivi huyu jokate na ujanja wake wote anaend kupenda hii toto y kariakoo zero brain? Wakizaa watoto watakua hewa kama baba yaoKiba alimshukuru Jokate na mwingine kwa vazi lake la jana usiku, maybe ndio maana Diva kampa yake. Ila tunajua Jokate anampenda Hashimu T.
diva naye nyapu nyapubtu
Anafaa kua na watu wenyw heshima zao wambao hawako kwwnye spot lights ameenda kuzoea hilo jitu khaaaa yaan hapo ndio namshushaga jokateAnafaa awe na Nan?
Kila shetan Ana mbuyu wakeAnafaa kua na watu wenyw heshima zao wambao hawako kwwnye spot lights ameenda kuzoea hilo jitu khaaaa yaan hapo ndio namshushaga jokate
Theoretical words.......siamniii[emoji126]Baada ya Alikiba kushindwa kupata shangwe iliyotarajiwa kutoka kwa mashabiki huku jina la mpinzani wake diamond likitawala japokuwa hakuwepo kwenye tamasha hilo.
Diva mtangazaji na shabiki mkubwa wa Alikiba ametoa sababu ya staa huyu kushindwa kung'aa kupitia twitter
View attachment 430007
Diva anadai jokate ndo kikwazo cha nyota ya alikiba kushindwa kung'aa.
Hata hivyo mashabiki wa jokate hawakuvumilia na kuanza kumwagia matusi
Gundy ni gunduGundu