Diva atundikwa mimba na mtangazaji mwenzie

Unajuaa watu wakipiga picha kwenye camera ya snapchat na zile effects wanawekea baadae wanaamini zile ndo sura zao halisi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani wachukue video na camera za kawaida tuwaone wasitumie camera zenye filter [emoji23][emoji23] wajitoe muhanga kama Nandy tuone natural wanaonekana vipi
 
So what?
 
Nazungumzia rangi wanaweza wafanya watu wakatafuta mikorogo mpaka wakapaka maji ya betri mradi wawe soft kumbe ni camera [emoji23][emoji23]
Rafiki lile tatizo lako la kutokupata mimba lilishaisha au niingilie kati?[emoji53][emoji53][emoji53]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…