Diva atundikwa mimba na mtangazaji mwenzie

Haa haa haa aiseee wee jamaa
Naona ndo mrith wa warumi
Kwa kuwa na ubuyu wenye mashiko
 
Mdogo wake na Mke Wa Chriss mauki mariam lukindo sio mbaya diva kaenda kuzalia sehemu salama...kama n kwl...
 
Huyo informer bila shaka anajua KIINGEREZA vizuri.
 
Bora abebe mimba awe busy kulea na kubadilisha nepi mtoto apunguze mengine
 
Hahahahahaha mtangazazi mzuri kuliko wote?????? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848].....kaaazi kwelkweli
Wanaojisemaga wazuri banaaa sijui walidanganywa na nani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume nyie waongo sana
Mwanamke anapenda kusifiwa. Hapo ndio wanaume hupitia. Wanawake asilimia kubwa hawapendi kuambiwa ukweli!
Mathalani mwambie ukweli kuhusu sura yake kama ni mbaya "panachimbika"
Mpe sifa iki uendelee kutumia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…