Kweli ii ni hatar aiseee
Ila me naona kama sinema tu wanafanya awawez waacha wale
Si wanga weng wanaish kwa fununu.Apo nimekupata sasa mana ilikua balaa mtaan
Walisharudi kazini au bado
waswahili wanasema chezea mshahara usichezee kazi.... millard ayo majembe hayo yawahi mapemaaa kwenye redio yako ile....
hivi umeangalia tarehe ya hii post kweli?