ChescoMatunda
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,232
- 442
hao ndo walikuwa vimbelembele sana hapo wafufm coz hawakuwa na sifa ya kazi ila kusifia na kuponda wapinzani na baadhi ya wasanii wasiokula nao deal, ili kumfurahisha Rugey sasa imekula kwao wafie mbali huko ....