maasai Ndito
Member
- Dec 21, 2013
- 60
- 17
ndo wajue kwamba blauzi fm hawana shukrani, go to hell
:sad::sad::sad:!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Afadhali ya REuben nchakali alijiondokea mapemaaaa. Anakea mimba tu saiv ya dina wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo wajue kwamba blauzi fm hawana shukrani, go to hell
:sad::sad::sad:!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ruge hajasema wamefukuzwa amesema wamesimamishwa.. Wameomba radhi siku tano zilizopita. na utaanza kuwasikia tena siku chache zijazo.
ruge hajasema wamefukuzwa amesema wamesimamishwa.. Wameomba radhi siku tano zilizopita. Na utaanza kuwasikia tena siku chache zijazo.
karibu jf baby naomba niwe mwenyeji wakoJaman thts y akunaga ala za roho cku iz
hivi ncha kali kasepa kumbe!.Afadhali ya REuben nchakali alijiondokea mapemaaaa. Anakea mimba tu saiv ya dina wake
"Ukiinuka sie tunakaa ukipotea kwetu furaha adui mwombee njaa atanyoosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa"
wakafungue kesi mahakamani kama Zitto wasijadiliwe
ni vizuri wangespecify kwa kipindi gani wamewasimamisha au wawambie 2
Duka la nguo kwa star acha msikhara Altezza kuiweka barabarani kila siku sh 15k,kodi ya nyumba kwa mastar jiwe 3 kwa mwezi na hapo dili za laki laki wanazoongwa na wasanii wawekwe kwenye show na kupigiwa nyimbo zao zimekata hapo lazima uombe poo mtaani kuna njaa sana!!
still ni mbunifu