Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
Mi itaniuma kama watafukuzwa Adam na B12 but kwa Diva ntapiga vigelegele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo anasimamia hoteli ya mkewe labda awaajili wawe mabaamedi
wakaombe mwananchi wana vwango?Sidhan kama kuna
tatizo,maana kazi yao ni kuuza maneno,so wataenda uza kwingine,halafu
watangazaj huwa na tabia za kuponda redio nyingine wanapokua redio
flan,sijui huwa wanawaza kuwa sehemu 4 life,wakaombe kazi mwananchi
communication,
Radio Clouds Kwishaaa kazi kama majembe yanaondoka hatariiiiiiiiiii.
Haaaahahaha(nacheka kwa dharau) diva u thought tht was ur fathers office uuh.? Ulizidi madharau mtaani tulikua hatukai. Tuone nyodo zako utazifanyia wapi..
Kama vip nenda kaombe kazi tff kwa uncle..
Ruge hajasema wamefukuzwa amesema wamesimamishwa.. Wameomba radhi siku tano zilizopita. na utaanza kuwasikia tena siku chache zijazo.Lini wameomba radhi? Maana taarifa za kufukuzwa zimekuja leo that means Ruge amehojiwa jana!
Ndo kina nani hao hapa Tanzania hadi wajadiliwe? Maada kuna mambo mengi ya kuzungumza na sio hao watu ambao nina uhakika hawana impacts kubwa Tanzania Kama second draft ya katiba yetu