Diva, B12, na Mchomvu wapigwa chini Clouds

Diva, B12, na Mchomvu wapigwa chini Clouds

Mi itaniuma kama watafukuzwa Adam na B12 but kwa Diva ntapiga vigelegele
 
Sidhan kama kuna
tatizo,maana kazi yao ni kuuza maneno,so wataenda uza kwingine,halafu
watangazaj huwa na tabia za kuponda redio nyingine wanapokua redio
flan,sijui huwa wanawaza kuwa sehemu 4 life,wakaombe kazi mwananchi
communication,
wakaombe mwananchi wana vwango?
 
Haaaahahaha(nacheka kwa dharau) diva u thought tht was ur fathers office uuh.? Ulizidi madharau mtaani tulikua hatukai. Tuone nyodo zako utazifanyia wapi..

Kama vip nenda kaombe kazi tff kwa uncle..

diva ataenda kusimamia ma-conteiner ktk yard ya cargo star pale kurasini.sininasikia ni ya baba yake.
 
Naamini hakuna ofisi hisiyo na kananu na taritibu zinazo takiwa kufatwa na waajiriwa.

Pengine kweli walikiuka taratibu,lakini naamini kufikia kuwasimamisha tena kwa muda usiojulikana ni pakubwa sana na pengine clouds media group wangewapa onyo.

Ukiangalia maneno ya ruge utagundua kuwa pengine kuna mambo mengi yamejificha kuliko haya yalio elezwa hapa.



Hawa watangazaji ni binadamu kama wengine hivyo kukosea ni sehemu ya maisha na wana stahili kurekebishwa lakini sidhani kama walistahili hii adhabu Ruge anayo hitaja hapa "kusimamishwa kwa kipindi kisicho julikana"



Kuna jambo bado najiuliza,ina wezekana vipi watu watatu wakagoma kwenda kwenye tamasha bila sababu za msingi?

Pengine clouds wametumia hasira kuchukua maamuzi hayo lakini naamini bado hawa watangazaji wana wahitaji clouds na clouds nayo ina wahitaji.




Ni vyema clouds media group wakawarudisha kundini na kuwa samehe maana hii adhabu ni kubwa.

++++++++++++++++++++++++

Ni aibu kuona watu wana shangilia kuona wenzao wakiwa kwenye matatizo.
 
Ndo kina nani hao hapa Tanzania hadi wajadiliwe? Maada kuna mambo mengi ya kuzungumza na sio hao watu ambao nina uhakika hawana impacts kubwa Tanzania Kama second draft ya katiba yetu
 
Kama wana elimu zao toka vyuo vinavyotambuliwa na TCU watapata job sehemu nyingine but Kama elimu yenyewe ni amazon kisima cha mafanikio watasubili sana
 
Lini wameomba radhi? Maana taarifa za kufukuzwa zimekuja leo that means Ruge amehojiwa jana!
Ruge hajasema wamefukuzwa amesema wamesimamishwa.. Wameomba radhi siku tano zilizopita. na utaanza kuwasikia tena siku chache zijazo.
 
Mkare-wenu unabangi kichwani au unatatzo la ugonjwa wa kifafa soma zeni elewa namaanisha nini usikurupuke tu
 
Oga,kojoa ukalale na sio kupalamia mawazo ya wenye akili timamu baba yangu kafikaje humu? Wewe ni sawa na kei.u.em.ei @ mkare kwenu
 
ndo wajue kwamba blauzi fm hawana shukrani, go to hell
:sad::sad::sad:!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa kuwa hatujui wamekosa nn hatuwezi hukumu, duuu tutawamiss mbaya cha msingi wakajiunge na Zambwela
 
Ngoja nisipite hivihvi nami nitie neno ........... B 12 bwana ni mtu fulani hivi ambaye anajielewa sana na kujiheshimu na kama maisha yake kiujumla yapo hivyo ataendelea hata bila hao clouds tatizo lipo kwa huyu mvuta bangi Adam mchomvu ameshawahi kutapika studio wakamsamehe kama amerudia tena wampeleke akapalilie mibangi yake
 
Back
Top Bottom