Tshs.315,000/=
Yupo anasimamia hoteli ya mkewe labda awaajili wawe mabaamedi
"Ukiinuka sie tunakaa ukipotea kwetu furaha adui mwombee njaa atanyoosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa"
watangazaji wa kituo kimoja redio kimewasimamisha watangazsji wake wawili kwa kosa la kumshambulia mbunge wa kigoma kaskazini Mhe Zitto Zuberi Kabwe kwenye mitandao ya twitter,facebook.. ikumbukwe mbunge huyu imekuwa ni kosa kumwandika kwa kwa mtazamo hasi..
Ni kweli tumefikia uamuzi wa kuwasimamisha B 12, Diva na Mchomvu baada ya kukiuka baadhi ya makubaliano baina yao na kampuni" ~ Ruge
Jamani, waTZ tuna tabia ya kudharau sana kazi wkt kupata kazi Siku hizi sio kitu rahisi. WaKenya wanakuja huku kuchukua kazi zetu ni kwa sababu tu hatuko serious na kazi. Siku tukijitambua na tu kaanza kuheshimu kazi hata kulalamikia serikali kutakwishaMnafurahia kuona Mtz mwenzako anapokosa ajira .Tuache mambo haya wangefukuzwa kosa lao unalijua?
Umeonaeee!!! Hawa jamaa walikuwa wanajiona kama miungu watu pale Clouds. Binafsi sihitaji kujua wamefanya kosa gani, wameonewa au hawajaonewa. Wacha walione kwanza life la kitaa. Maana walizidi sana kuwabania washikaji
Wasiwasi Amekwenda Azam na Maestro Nae amekwishaondoka Nae pia Yupo Azam na Kuna Hatihati Muda Wowote Jeff Nae Akaondoka Kutimkia Zake Azam Tv. Shafii Kawatolea Nje Azam Japo Walimpa Ofa Nono Sana!!!!!!!!!!!!!!!!
Kaka, kwani walichopewa ni termination au suspension? Tusichanganye mambo! Kusimamishwa=suspension; kufukuzwa=termination: sheria ya mahusiano kazini inasema ukisimamishwa kazi una retain haki zako zote Kama mwajiriwa including mshahara, matibabu nk. Ukifukuzwa unapoteza haki zako zote Bali unapewa nauli ya kurudi kwenu ndani ya Siku sabaKisheria mwajiri akikusimamisha kazi lazima akupe termination letter yenye sababu ya kusimamishwa,kama wamesimamisha kwa mda usiojulikana that means wataendelea kupewa mshahara coz hawajasimamisha pasee,Diva,Mchovu na B12 nendeni mahakamani kama mnaona ni unfair termination,Je mlipewa warning? Kama hamjapewa basi termination haijatenda haki nendeni kwa wanasheria muishataki clouds mlipwe mipunga yenu! Karibuni mtaani muonane na vinega!
Ushauri wa bure waende East Africa Redio