Diva, B12, na Mchomvu wapigwa chini Clouds

Diva, B12, na Mchomvu wapigwa chini Clouds

Naskia diva ametimuliwa baada ya kuikacha CCM......na kuipgia debe chadema.
 
Msiwe na wasiwasi mtakula nini mtavaa nini....tazameni Nyuni wa angani wanavyopendeza,hawana pa kula, kuvaa wala pa kulala ila ni kwa baba...! Kama Mungu anawalisha na kuwavisha nyuni na shomoro wa mwituni,atashindwaje kwa binaadamu walioumbwa kwa mfano wake!
 
"Ukiinuka sie tunakaa ukipotea kwetu furaha adui mwombee njaa atanyoosha mikono juu hata kama alikuwa shujaa"

Umeonaeee!!! Hawa jamaa walikuwa wanajiona kama miungu watu pale Clouds. Binafsi sihitaji kujua wamefanya kosa gani, wameonewa au hawajaonewa. Wacha walione kwanza life la kitaa. Maana walizidi sana kuwabania washikaji
 
The more the pressure
the more the disire ndo mistake aliyoifanya Ruge na ndo itakayomtafuna yeye na clouds yake
hata kipindi kiwe kizuri kiasi gani presenter ndo kila ki2 sasa anategemea nini kuwasimamisha bila kujua hatma yao
anyway
dont give up kazi mtapata kwingine sababu mnakipaji chenu tofauti na wengine all de best huko mnakoenda kulianzisha.
 
Kama ni kweli mbona ishu maana jamaa walikuwa wanaishi kwa talent, na siku hizi watu wanaangalia vyeti duuh!!! Zile tuhuma za ushoga zitadhihiri muda si mrefu maisha yatakapoanza kuwagonga......!!
 
watangazaji wa kituo kimoja redio kimewasimamisha watangazsji wake wawili kwa kosa la kumshambulia mbunge wa kigoma kaskazini Mhe Zitto Zuberi Kabwe kwenye mitandao ya twitter,facebook.. ikumbukwe mbunge huyu imekuwa ni kosa kumwandika kwa kwa mtazamo hasi..

“Ni kweli tumefikia uamuzi wa kuwasimamisha B 12, Diva na Mchomvu baada ya kukiuka baadhi ya makubaliano baina yao na kampuni" ~ Ruge

ni kweli mkuu, ilianza kwa diva, baada ya kuiunga kamatii kuu ya chadema....na kumwita zitto msaliti.....
 
Mnafurahia kuona Mtz mwenzako anapokosa ajira .Tuache mambo haya wangefukuzwa kosa lao unalijua?
Jamani, waTZ tuna tabia ya kudharau sana kazi wkt kupata kazi Siku hizi sio kitu rahisi. WaKenya wanakuja huku kuchukua kazi zetu ni kwa sababu tu hatuko serious na kazi. Siku tukijitambua na tu kaanza kuheshimu kazi hata kulalamikia serikali kutakwisha
 
Umeonaeee!!! Hawa jamaa walikuwa wanajiona kama miungu watu pale Clouds. Binafsi sihitaji kujua wamefanya kosa gani, wameonewa au hawajaonewa. Wacha walione kwanza life la kitaa. Maana walizidi sana kuwabania washikaji

Watu hawakai kizembe kama unavyofikiria...Mjini hapa...Dua la kuku halimpati mwewe....Piga vita ROHO MBAYA kwa maendeleo ya Taifa...
 
Wasiwasi Amekwenda Azam na Maestro Nae amekwishaondoka Nae pia Yupo Azam na Kuna Hatihati Muda Wowote Jeff Nae Akaondoka Kutimkia Zake Azam Tv. Shafii Kawatolea Nje Azam Japo Walimpa Ofa Nono Sana!!!!!!!!!!!!!!!!

kuna umri ukifika hakuna haja ya kuhamahama,inawezekana walimpa ofa kubwa zaid ya akina ruge,but anaingiza kias kimtoshacho nje ya kazi,sasa unaweza ukawa azam,then baadae ukajikuta ua not free,yanawezekana hayo
 
Kisheria mwajiri akikusimamisha kazi lazima akupe termination letter yenye sababu ya kusimamishwa,kama wamesimamisha kwa mda usiojulikana that means wataendelea kupewa mshahara coz hawajasimamisha pasee,Diva,Mchovu na B12 nendeni mahakamani kama mnaona ni unfair termination,Je mlipewa warning? Kama hamjapewa basi termination haijatenda haki nendeni kwa wanasheria muishataki clouds mlipwe mipunga yenu! Karibuni mtaani muonane na vinega!
Kaka, kwani walichopewa ni termination au suspension? Tusichanganye mambo! Kusimamishwa=suspension; kufukuzwa=termination: sheria ya mahusiano kazini inasema ukisimamishwa kazi una retain haki zako zote Kama mwajiriwa including mshahara, matibabu nk. Ukifukuzwa unapoteza haki zako zote Bali unapewa nauli ya kurudi kwenu ndani ya Siku saba
 
du!wafukuzwe tu!!!!kwel ni kaul kwa mtanzania mwenzako?hujui amekosa nn na kwa nn amefanya hivo au kwa kuwa ww huna ajila na ukata wa maisha unaona bora tu afukuzwe ili mlinganeee...kuwa mtu kati ya watu siyo kuvaa siti au kupost sana JF
 
They are so talented but talent pekee haisaidii..discipline kitu cha msingi pia!
 
Back
Top Bottom