Diva, B12, na Mchomvu wapigwa chini Clouds

Diva, B12, na Mchomvu wapigwa chini Clouds

Wangeanza na Kibonde kwanza.... huyo jamaa ndio alifanya nikaacha kusikiliza clouds!!
 
Kwa habari zilizotufikia ni kwamba watangazaji maarufu wa clouds fm diva,b12,na mchomvu wamesimamishwa kazi kwa muda husiyojulikana kwa utovu wa nidhamu,.kosa kubwa ni kushndwa kujumuhka na wenzao sikuku ya miaka 14 ya clouds fm,pamoja na makosa mbalimbali yanayowakabili hayo yamethbitishwa na mkurugenzi wa vipindi sebastian maganga
 
Siasa kwenye midia hzo polen sana akna B12,ADAM MCHOMVU NA CCTA DIVA michongo ipo mutatoka tu muwe kama JDEE mwenzenu kakomaa na bado anafankiwa maisha si clouds hata sehemu nyngne mutatoka
 
Now clouds bas mmenifanya nianze kulala saa nne kamili nkiwafukuza na akuna sharfi dauda pamoja na maestro ndo kwanza saa tatu kamili nalala .au mzimu wa mwanadada jadee umeanza kufanya kazi. Me mgen
 
Yamekuwa hayo? Hao ndio ntoleee tena sidhani kama watarudishwa,ndio maana Joseph kusaga anaachana nao ameenda kuweka makazi Abu dhabi na kuanzisha redio nyingine huku kushaaribika,Wasiwasi kashasepa Daaaa Clouds inakufa kama majembe yameondolewa kwishneyyyyyy!

Na Wasiwasi pia?? Hatari
 
Back
Top Bottom