frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,339
Kumpiga chura teke ni kumwongezea mwendo!
chura mzuri kama ana vyeti full, kwa chura hawa hakuna vyeti tuombe uzima tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumpiga chura teke ni kumwongezea mwendo!
Ni mtoto wa Dioniz Malinzi
Yupo anasimamia hoteli ya mkewe labda awaajili wawe mabaamedi
Kwa kuongezea tena ni Mtoto Wake wa Nje Ya Ndoa alipiga Game na Kimwana au Mama Mmoja hivi........................!
Na Wasiwasi pia?? Hatari
Wasiwasi Amekwenda Azam na Maestro Nae amekwishaondoka Nae pia Yupo Azam na Kuna Hatihati Muda Wowote Jeff Nae Akaondoka Kutimkia Zake Azam Tv. Shafii Kawatolea Nje Azam Japo Walimpa Ofa Nono Sana!!!!!!!!!!!!!!!!
walikuhudhi nini?
wangewafukuza tu
Mtoto wa Dionis Malinzi, kaka wa presidaa wa TFF
Labda wamepewa dili nono na AZAM TV! Si ninasikia wanaredio pia mpya hawa watu na TV station pia? Vijana wa siku hizi wanaangalia ankara tu si kuuza sura. (Just thinking)
Yamekuwa hayo? Hao ndio ntoleee tena sidhani kama watarudishwa,ndio maana Joseph kusaga anaachana nao ameenda kuweka makazi Abu dhabi na kuanzisha redio nyingine huku kushaaribika,Wasiwasi kashasepa Daaaa Clouds inakufa kama majembe yameondolewa kwishneyyyyyy!