Diva hajitambui

Diva hajitambui

Hivi kwanini baadhi ya watu wanapenda kufikia hitimisho haraka haraka? Kwanini tumejenga mazoea ya kwamba tunayoyajua sisi, basi lazima na wengine wayajue kama sisi!!?? Kama wewe unajua kuimba wimbo wa Taifa, so what?!! Ni wewe! Tangu lini kwa mtu asiyejua wimbo wa Taifa (Tanzania) kwamba amekuwa hajitambui? Tena amekuwa mkweli kabisa kwamba haujui na haupendi! amesema wazi, nilidhani kwamba kwa kusema hayo ndio anajitambua, maana anajua asichojua na asichopenda. Labda kama kuna mengine, lakini kwa hili la Wimbo wa Taifa, hapana si haki kuhukumu. Mleta mada una mangapi huyajui maishani mwako ambayo wengine wanayajua, je na wewe kutuite hujitambui!! Hapana
Acha kutetea upuuzi.
 
situmiagi nguvu nyingi sana aisee...muulize dadako anajua!
and being exceptional???....Yes,kwenye kundi la nyumbu kama wewe na wenzio.....mulugo huonekana exceptional sembuse mimi!

....ha ha ha ha...mtoto koma!..usijekuta wamtusi babaako hapa!,sawa 'exceptional boy?'
 
Katika kipindi cha mkasi kilichoruka jana 21/12/2015 usiku Nilipigwa na mshangao wa kufa mtu pale muongoza kipindi Salama alipomuuliza Diva kama anaufahamu wimbo wa taifa akajibu kwa kifupi "siujui". Salama hakuamini jibu hilo akamuanzishia wimbo huo ili kumsaidia hata kama alikuwa ameusahau akasema kwa msisitizo "kwanza huwa siupendi kabisa wimbo huo". Kwanza nilijisikia ovyo na kuhisi kumchukia ghafla mtangazaji huyo wa Clouds Fm.

Naamini kuwa Diva ni mwandishi wa habari haijaLishi habari za aina gani kwa hiyo naamini anajua maadili yanayohusu taaluma hiyo ya habari kwa nini aliruhusu kitu cha namna hiyo (maneno yake ya chuki dhidi ya wimbo wa taifa) kitokee mbele ya watazamaji na kama kipindi hicho hakikuwa live kwa nini EATV hawakuhariri sehemu hiyo?

Taaluma? Nafikiri kajificha kwenye Taaluma tu
Nina mashaka kama anayo Taaluma hyo. Huyo mzungu wa bk
 
Alipozaliwa, ndugu na jamaa walisema "waooooo...pua kama ya baba yake"
 
Kuna mwaka timu ya taifa ya mpira wa miguu ilikuwa inakwenda nje ya nchi kwenye mashindano (nimesahau jina la mashindano hayo). Marehemu Mzee Moses Mnauye alikwenda kambini kukabidhi bendera ya taifa. Kufika huko wakati wa kuikabidhi hiyo bendera wachezaji walitakiwa waimbe wimbo wa Taifa la haula! Kituko! Wale wachezaji waliishia kujiumauma tu! Sasa hiyo ni miaka ile ya ambapo wengi hujisifu ni kipindi uzalendo ulikuwa juu. Kwa kweli simshangai huyo binti maana najua wapo wengi wa aina yake. Ni wa kuwaonea huruma na kusaidiwa pia.
 
Ni kweli hajui.. kwa sababu ana matatizo ya kusahau.
 
Anakyla kwako?, unamvisha?, inamuathiri nini wewe kumchukia?, fanya yako mkuu
 
msisahau huyu ni muhaya.. nadhani mnawajua wahaya kwa kujisifu na kujidai pia baba yake ni yule malinzi wa tff
 
Ukimfuatilia au kumsikiliza uyo binti utawehuka kama yeye maana mwenzio kila dakika ana-create stunts ili apate air time kwenye media kama ivi.
 
Back
Top Bottom