Diva hajitambui

Acha kutetea upuuzi.
 
situmiagi nguvu nyingi sana aisee...muulize dadako anajua!
and being exceptional???....Yes,kwenye kundi la nyumbu kama wewe na wenzio.....mulugo huonekana exceptional sembuse mimi!

....ha ha ha ha...mtoto koma!..usijekuta wamtusi babaako hapa!,sawa 'exceptional boy?'
 

Taaluma? Nafikiri kajificha kwenye Taaluma tu
Nina mashaka kama anayo Taaluma hyo. Huyo mzungu wa bk
 
Alipozaliwa, ndugu na jamaa walisema "waooooo...pua kama ya baba yake"
 
Kuna mwaka timu ya taifa ya mpira wa miguu ilikuwa inakwenda nje ya nchi kwenye mashindano (nimesahau jina la mashindano hayo). Marehemu Mzee Moses Mnauye alikwenda kambini kukabidhi bendera ya taifa. Kufika huko wakati wa kuikabidhi hiyo bendera wachezaji walitakiwa waimbe wimbo wa Taifa la haula! Kituko! Wale wachezaji waliishia kujiumauma tu! Sasa hiyo ni miaka ile ya ambapo wengi hujisifu ni kipindi uzalendo ulikuwa juu. Kwa kweli simshangai huyo binti maana najua wapo wengi wa aina yake. Ni wa kuwaonea huruma na kusaidiwa pia.
 
Ni kweli hajui.. kwa sababu ana matatizo ya kusahau.
 
Anakyla kwako?, unamvisha?, inamuathiri nini wewe kumchukia?, fanya yako mkuu
 
msisahau huyu ni muhaya.. nadhani mnawajua wahaya kwa kujisifu na kujidai pia baba yake ni yule malinzi wa tff
 
Ukimfuatilia au kumsikiliza uyo binti utawehuka kama yeye maana mwenzio kila dakika ana-create stunts ili apate air time kwenye media kama ivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…