Diva hajitambui

Hahahahah huyo Dada naomwonaga kama kichaa Fulani hivj yaani anamchanganyiko wa swaga za kizungu na za aki asha boko sijui asha ngedere hahahahh
 
Ingekuwa nchi ya watu wanao jielewa Kwa Kazi yake ilikuwa Kama ni kipindi kiko live akitoka tu kwenye kipindi ana kutana na Barua ya kufukuzwa kazi
 

Lakini mheshimiwa alikuwa ana toka naye hadi outing kipindi ana mtafuna
 
....ha ha ha ha...mtoto koma!..usijekuta wamtusi babaako hapa!,sawa 'exceptional boy?'

kinda kama wewe kuniita mimi mtoto inaelezea makuzi yako na 'michezo' ulofanywa na kaka zako ukiwa mdogo!,so nimechagua kukupuuza kwenye hili.
na baba angu hatajwi tajwi hovyo na kina 'Bilaila mashauzi' kama wewe so namuacha apumzike kwa amani huko kwa Mungu.
Besides,next time usijaribu kutafuta bwana kwa nguvu kwa kudandia quotes za watu bila kuitwa,sio wote tunapiga mapunga kama wewe,umesikia 'binti'?
 
Diva a.k.a Kim Kadarshian wa Bongo....mmh ila ile sauti yake we acha tu,si huwa anatoa sauti ya namna gani wakati wa majamboz.
 

nilikwambia na wewe ni walewale tu!...kwa kupenda kujipaisha kindezi tu,mko vizur!
...tatizo lenu linajulikana kwahiyo hata hamsumbui kichwa!
 
Anaujua wimbo wa mgegedano tu huyo...hana saut nzur wala nn....maafiii
 
nilikwambia na wewe ni walewale tu!...kwa kupenda kujipaisha kindezi tu,mko vizur!
...tatizo lenu linajulikana kwahiyo hata hamsumbui kichwa!

hongera!you have earned yourself a spot in my ignore list!
 
hongera!you have earned yourself a spot in my ignore list!

...teh teh teh...kwahiyo nilie ama?
...kiazi tu wewe!...kama umeignore mafundisho ya mama unaemuita 'wa dhahabu' hadi waweka avatar ya utupu wa mwanamke,itakuwa kuniignore mimi?
....punga punguwani!
 
leonaldo, unamaanisha Diva yule dada anayeitwa Pendo lakini akaamua kubadilisha ili li-sound kidhungu na kuwa Loveness lakini bado akaona haitoshi akaenda mahakamani kuapa ili hatimae atambulike kwa jina la Diva?!
 
Last edited by a moderator:
Kweli nimeonana watanzania wanapenda shobo na viji CELEBS visivyokuwa na mailage za kufahamika ..kwa Diva kusema hajui kuimba wimbo wa TAIFA ilikuwa OK lakin kusema hapendi kabisa hapo ndo tatzo ...ni MBULULA wa kutupwa stegemei mtu asiyejipendekeza kwa viCeleb vya bongo atatetea upuuzi wa huyu binti kichaa kabsaaa
 
Ye alisema anasubiri tu GK amuhitaji akamliwaze, baaas...
 
Diva a.k.a Kim Kadarshian wa Bongo....mmh ila ile sauti yake we acha tu,si huwa anatoa sauti ya namna gani wakati wa majamboz.

Nani Pendo uyo?? Labda kama kabadilika na ananawa vzuri sa hv
 
Uyo ni mmarekani mweusi jamani na amezaliwa kule marekani ....bongo yenyewe amekuja ukubwani hehehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…