miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Wakati kasoma mikoroshini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mtu ni nani hapa Tanzania.....?
Mwanzoni nilipokuwa simjui Diva nilikuwaga nafikri ni binti moja mkaliiiii, binti matawi ya juu. Anavyojua kulegeza sauti yule utafikri wakati huo mtete umezama ndani kabisa! Ooouuuups, nilipomwona uso kwa uso nilipigwa na butwaa, dam sura kama mimi??? Mtoto wa kupigia gizani huyo!
....ha ha ha ha...mtoto koma!..usijekuta wamtusi babaako hapa!,sawa 'exceptional boy?'
kinda kama wewe kuniita mimi mtoto inaelezea makuzi yako na 'michezo' ulofanywa na kaka zako ukiwa mdogo!,so nimechagua kukupuuza kwenye hili.
na baba angu hatajwi tajwi hovyo na kina 'Bilaila mashauzi' kama wewe so namuacha apumzike kwa amani huko kwa Mungu.
Besides,next time usijaribu kutafuta bwana kwa nguvu kwa kudandia quotes za watu bila kuitwa,sio wote tunapiga mapunga kama wewe,umesikia 'binti'?
nilikwambia na wewe ni walewale tu!...kwa kupenda kujipaisha kindezi tu,mko vizur!
...tatizo lenu linajulikana kwahiyo hata hamsumbui kichwa!
hongera!you have earned yourself a spot in my ignore list!
Diva a.k.a Kim Kadarshian wa Bongo....mmh ila ile sauti yake we acha tu,si huwa anatoa sauti ya namna gani wakati wa majamboz.