Diva heshima na adabu vimekuondoa cloids change

Diva heshima na adabu vimekuondoa cloids change

PDIDY umepata division 5 hongera sana kwa ufaulu wako wa hali yajuu
cooment 99.89% za uandishi wako mbovu 0.011% za kuchangia mada husika...ukatibu unakufaa
 
Tatizo siyo Mtanzania ni Msudan ndio maana hii lugha inampa shida....siunajua vita.....
 
maneno yapi ndugu pdidy,sio wote wanao sikiza kipindi cha diva clouds radio.
tupe ndondondoo kidogo bhana
 
Kama KUNA VITU VYA KUMSAIDIA NI KUMSHAURI DADAETU DIVA ALIESIMAMISHWA. CLOUDS KWA. UTOVI WA NIDHAMU

NA KAMA MMEKUWA MKIMSIKIA NAJUA ULIKUWA NA WATU NJE WANAKUFANYA. UFANYE VILE AMA.USEME YALE REDION. KUWA MAKINI MWANAMKE TABIA WENGI WANAMINI ULICJOKUWA UNAONGEA NI TANIA YALO HALISI

KINGINE JIZUIE CHUJA UNACHOONGEA KUA CLOUDS INASIKILIZWA NA WENGI PAMOJA NA WATOTO KWA MANENO YALE HATA WAZAZI WAKO LAZIMA WAFUNGE REDIO

JIREKEBISHE USIANGALIE WALIOSHABIKIA KUONDOLQ BADO MDOGO UNAWAKA KABISA KWENYE FANI WASIOKUA.MAISHA WATAFIRAHI ILA MI NAAMINI UKICHANGE HATA TBC UNAFIT

Una Upungufu wa Kinga ya Lugha (UKILU)
 
Badilisha jina fasta unamwaibisha mnyamwezi mwenye jina hilo.Na wasiwasi hata darasa la saba hukumaliza
 
Jifunze kwanza kuandika then ndo urudi tudiscuss hoja.Kubwa zima halijui kuandika
 
Huyu jamaa hajawahi kuandika kitu kinachoelewa. Sasa CLOIDS ndio nini?

Mawazo na hoja anakuwa nazo ila tatizo ni jinsi ya kuwasilisha.

Hii kama sio ile Elimu zamani tulikuwa tunaiita GUMBARU ni bahati sana.

huyu jamaa jamaa ndio kawaida yake sijui sio mswahili au kama ni mswahili basi hii lugha sio lugha ya kwanza maana sio leo tu iwe post(s) au comment(s) ni mwendo wa kuchapia tu, wadau wengi tushamjua

Huwa napata shida sana kumuelewa

Huwezi kuamini Pdidy ana masters kutoka UDSM.
 
Huwezi kuamini Pdidy ana masters kutoka UDSM.

weweeee weeeeeeeeeee wasema kweli :A S 13: wacha hiyo yani UDSM? asituharibie jina la chuo chetu hii ni hatari sana kama sasa udsm wanatoa watu wa uandishi wa piddy.
 
Hii hbr iliporushwa kama ilikuwa kweli ila ya kimbea sana mimi sio fan wa huyu mdada ila daah kuna watu hawampendi sijui ana damu ya mende?ila muanzishaji lazima anaelement za kimbea Jana kwenye radio nimemsikia anatangaza kipindi chake sasa kama sielewi kapigwa warning letter au bhasi tuu haters?
 
Dah kweli asee mi mwenyewe nimetoka kavu knock out cjaelewa kitu pamoja na ku edit lkn wapiii
 
Back
Top Bottom