Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama KUNA VITU VYA KUMSAIDIA NI KUMSHAURI DADAETU DIVA ALIESIMAMISHWA. CLOUDS KWA. UTOVI WA NIDHAMU
NA KAMA MMEKUWA MKIMSIKIA NAJUA ULIKUWA NA WATU NJE WANAKUFANYA. UFANYE VILE AMA.USEME YALE REDION. KUWA MAKINI MWANAMKE TABIA WENGI WANAMINI ULICJOKUWA UNAONGEA NI TANIA YALO HALISI
KINGINE JIZUIE CHUJA UNACHOONGEA KUA CLOUDS INASIKILIZWA NA WENGI PAMOJA NA WATOTO KWA MANENO YALE HATA WAZAZI WAKO LAZIMA WAFUNGE REDIO
JIREKEBISHE USIANGALIE WALIOSHABIKIA KUONDOLQ BADO MDOGO UNAWAKA KABISA KWENYE FANI WASIOKUA.MAISHA WATAFIRAHI ILA MI NAAMINI UKICHANGE HATA TBC UNAFIT
Bilaa co.mmemts zenu.kama hizi jf siji
That didy jaman jirahdini mkishindwa 2015taelewa zaidi
huyu jamaa atakuwa ni mcongoman maana siajaelewa kabisa hata kitu kimoja hapo
au amepiga viroba
Ni Mchagga huyu..
mie nimejaribu kusoma thread yake kwa kuirudiarudia nimegundua kuwa alikuwa anamsihi LOVENESS LOVE aka DIVA wa clouds fm(mama wa mahaba)kwamba anapokuwa anaendesha kipindi radioni maneno anayokuwa anayatamka sio mazuri kwani radio hiyo inasikilizwa na watu wenye heshima zao,hivyo kufikia hatua ya kuzima radio.Kwa hili ni kweli,kwani ukiwa sebuleni na wazazi wako mmefungulia radio hiyo kweli lazima mzime radio au mbadilishe station nyingine.kuna maneno anatakiwa kuyachuja.
A
na[
,,
hhhhhaahaaaataaa
c n ,,,,,,,,,