Diva heshima na adabu vimekuondoa cloids change

Diva heshima na adabu vimekuondoa cloids change

Bilaa co.mmemts zenu.kama hizi jf siji

That didy jaman jirahdini mkishindwa 2015taelewa zaidi
 
Ikoelewaaaa kama lewa Selma juma I rashidooo
 
huyu jamaa atakuwa ni mcongoman maana siajaelewa kabisa hata kitu kimoja hapo
au amepiga viroba

Kama KUNA VITU VYA KUMSAIDIA NI KUMSHAURI DADAETU DIVA ALIESIMAMISHWA. CLOUDS KWA. UTOVI WA NIDHAMU

NA KAMA MMEKUWA MKIMSIKIA NAJUA ULIKUWA NA WATU NJE WANAKUFANYA. UFANYE VILE AMA.USEME YALE REDION. KUWA MAKINI MWANAMKE TABIA WENGI WANAMINI ULICJOKUWA UNAONGEA NI TANIA YALO HALISI

KINGINE JIZUIE CHUJA UNACHOONGEA KUA CLOUDS INASIKILIZWA NA WENGI PAMOJA NA WATOTO KWA MANENO YALE HATA WAZAZI WAKO LAZIMA WAFUNGE REDIO

JIREKEBISHE USIANGALIE WALIOSHABIKIA KUONDOLQ BADO MDOGO UNAWAKA KABISA KWENYE FANI WASIOKUA.MAISHA WATAFIRAHI ILA MI NAAMINI UKICHANGE HATA TBC UNAFIT
 
huyu jamaa inabidi arudishwe kufanya mitihani yake ya QT
 
nimemfurahia sanaaaa huyu pdidy
 
mie nimejaribu kusoma thread yake kwa kuirudiarudia nimegundua kuwa alikuwa anamsihi LOVENESS LOVE aka DIVA wa clouds fm(mama wa mahaba)kwamba anapokuwa anaendesha kipindi radioni maneno anayokuwa anayatamka sio mazuri kwani radio hiyo inasikilizwa na watu wenye heshima zao,hivyo kufikia hatua ya kuzima radio.Kwa hili ni kweli,kwani ukiwa sebuleni na wazazi wako mmefungulia radio hiyo kweli lazima mzime radio au mbadilishe station nyingine.kuna maneno anatakiwa kuyachuja.
 
Anaongea kihaya huyu so hadi kuandika anaandika kihaya. dadake Diva kamwelewa
 
do imekuwa dificult kdogo kumu understand uyu joumba cjui anamana gani mwe
 
Kama ni muda mrefu mnamshauri ajirekebishe hataki/haelewi,suluhisho ni kutochangia thread yake anapoitoa,akiona hivyo atakuwa sirias kabisa,kuandika vile kama mtu anakimbizwa inakuwa vigumu kuelewa anachosema.
:llama:
 
Back
Top Bottom