Diva: Kama huna milioni 500 huwezi kunioa

Diva: Kama huna milioni 500 huwezi kunioa

kwa mwanamke kupungukiwa na akili ni mbaya sana ...hata huwez kuolewa labda ajioe mwenyewe halafu hizo.hela azi deposit mwenyewe
 
Hv guys **** ya huyu Diva ipoje... Kwa waliopitia kule uvunguni kwake mtupe mresho... Maana DuuuuuH....!!!
 
View attachment 716779 Mtangazaji wa Clouds Fm Loveness Malinzi maarufu kama Diva the bawse amefunguka kuwa hawezi akaolewa na mwanaume yoyote bila kutokew mahari ya shilingi milioni 500.

Hii sio mara ya kwanza kwa Diva kuweka kigezo cha kuolewa na mwanaume mwenye pesa mbele kwani mara nyingi amekuwa akisema kuwa hawezi akaolewa kwa mahari ndogo.

Siku ya jana kupitia ukurasa wake wa Instagram Diva amekumbushia Tena vigezo vikubwa kwa mwanaume ambaye atakubali amuoe ambavyo ni awe tajiri kiasi ya kwamba aweze kutoa mahari ya milioni 500 lakini pia awe anajua kuongea kingereza:

"Kunioa ni milioni 500….set that jokes aside am deadly serious….make sure uwe unaongea English yenyewe hasa… uwe smart uwe handsome…..uwe loaded…No broke niggas in 2018 tupendane kwa faida, you can say wheteves just heard worse, seen worse SMHFG Nothing mean to me…..harsh ain’t new to me I heard it all…..Mwenye povu hana hela ruksa na povu lako nina Omo na jiki plus toothbrush na Colgate jus there for you dummy”.

Diva ametangaza ruksa mwenye hizo sifa ajitokeze hii imekuja baada ya kuachana na mpenzi wake msanii wa Bongo fleva Heri Muziki baada ya kutoswa hewani.


Mpekuzi
Kwa thamani gan aliyonayo shubaaamiti akaolewa na kina rostam uko dadek
 
Huyu sio ajabu aliwapa kazi ya makadirio kina Oroso wa kamati ya makinikia kodi sijui trilioni ngapi ila hata kishika uchumba cha milioni moja hatujapewa
 
Basi si lazima aolewe, ataliwa nje ya ndoa tena bure tu....
 
Back
Top Bottom