Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Ni Sanchez pekee ndo kasajiliwa kwa hela nyingi huku umri umeenda, sasa anaigharimu timu.Maisha yanamchanganya, Kashatumika sana huyo kikongwe nani aje atoe hiyo millioni 500 kirahisi rahisi, Hatudanganyiki.