Diva: Kama huna milioni 500 huwezi kunioa

Yeye anazo mil 500/=? Kama hana kwa nini anataka kulazimisha kupewa za wengine? Afterall kama mwanamume mwenye akili siwezi kwenda eti kununua papuchi kwa bei ya mil 500/= Hizi papuchi zimejaa tele mitaani. Na papuchi ni papuchi tu, ili mradi sio mnduku
 
sema watu wengine wanajion wazuri kumbe hata mke wangu anamzidi tu huyu anayesema milion 500 anazijua au anazisikia tatizo VYUMA VIMEKAZA TUMEWEKA vilainishi lakini bado viamekaza ataambulia matusi tu kwa watu wana hasira na uchumu kwa sasa
 
Kuna mwenzake mmoja aliwahi kuwa na swagg kama zake, then mwisho wa siku alichuja hadi akaanza kumtongoza Dangote Aliko.....tehteehh
Leo hii naskia amekua matonya, anatembeza bakuli akiomba msaada wa dollar 7000

Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndio huyu huyu wa mahari milioni 500,leo 15 M zinamshinda anaanza kuomba kuchangiwa?,bure kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani yeye ile "nyama" yake ni kilo 100 au robo kilo km sisi wengine??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
utoe ml 500 jitu lenyewe halina uwezo wa .... si bora uanzishe ranchi ya mbuzi
 
Amesema hawezi kuolewa bila million 500 mi nataka awe mpenzi tu sitaki kumuoa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…