Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ndio huyu huyu wa mahari milioni 500,leo 15 M zinamshinda anaanza kuomba kuchangiwa?,bure kabisaKuna mwenzake mmoja aliwahi kuwa na swagg kama zake, then mwisho wa siku alichuja hadi akaanza kumtongoza Dangote Aliko.....tehteehh
Leo hii naskia amekua matonya, anatembeza bakuli akiomba msaada wa dollar 7000
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohhhooooo........[emoji45] [emoji45]Si ndio huyu huyu wa mahari milioni 500,leo 15 M zinamshinda anaanza kuomba kuchangiwa?,bure kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani yeye ile "nyama" yake ni kilo 100 au robo kilo km sisi wengine??View attachment 716779 Mtangazaji wa Clouds Fm Loveness Malinzi maarufu kama Diva the bawse amefunguka kuwa hawezi akaolewa na mwanaume yoyote bila kutokew mahari ya shilingi milioni 500.
Hii sio mara ya kwanza kwa Diva kuweka kigezo cha kuolewa na mwanaume mwenye pesa mbele kwani mara nyingi amekuwa akisema kuwa hawezi akaolewa kwa mahari ndogo.
Siku ya jana kupitia ukurasa wake wa Instagram Diva amekumbushia Tena vigezo vikubwa kwa mwanaume ambaye atakubali amuoe ambavyo ni awe tajiri kiasi ya kwamba aweze kutoa mahari ya milioni 500 lakini pia awe anajua kuongea kingereza:
"Kunioa ni milioni 500….set that jokes aside am deadly serious….make sure uwe unaongea English yenyewe hasa… uwe smart uwe handsome…..uwe loaded…No broke niggas in 2018 tupendane kwa faida, you can say wheteves just heard worse, seen worse SMHFG Nothing mean to me…..harsh ain’t new to me I heard it all…..Mwenye povu hana hela ruksa na povu lako nina Omo na jiki plus toothbrush na Colgate jus there for you dummy”.
Diva ametangaza ruksa mwenye hizo sifa ajitokeze hii imekuja baada ya kuachana na mpenzi wake msanii wa Bongo fleva Heri Muziki baada ya kutoswa hewani.
Mpekuzi
u said it all kabisaameshajua hukuna anayemtaka kumuoa so anatafuta justification kuwa waoawaji wamekosa million 500 ndiyoomana amekua ajuza bila ndoa.
Hehehe jf !Kwani yeye ile "nyama" yake ni kilo 100 au robo kilo km sisi wengine??
Sent using Jamii Forums mobile app
....tena ni 'used' !Kwani yeye ile "nyama" yake ni kilo 100 au robo kilo km sisi wengine??
Sent using Jamii Forums mobile app