Diva: Kama huna milioni 500 huwezi kunioa

Diva: Kama huna milioni 500 huwezi kunioa

Sasa kama ameachana na mpenzi wake ina maana yeye ni second hand - mtumnba. Hivi hiyo bei ni ya used au new brand?
 
Huyo Diva ana BIKIRA???
Kadogo kalikuwa kanamla bure keo anaanza kuuza!
Atoe laki tano tukamkojoleshe sio kumuoa!Used hiyo.
 
Mzee wake SI bado yupo magereza kwa wizi??hah tumpe million 500 akamalize kesi..sawa tumekusoma..
 
Hapa tz hakuna levo ya kuoa kwa hizo chapaa labda malaika ashushwe toka mbinguni
 
Mwanamke anaeolewa kwa mahari ya milion3 tu ni lzm awe mzuri naturally, kiukweli diva ni mbaya kiasili ndio maana anajitahidi kujiremba lkn waapi zaidi ya kujidanganya mwenyewe.
Pia mwanamke anaeweza kuinyakua mahari ya m3 lzm afya yke ya akili iwe sawa,sio wa sampuli ya diva nusu mental.
Anataka kupendwa kwa faida bila ya kujua wapendaji nao wanaume nao wanataka faida.chizi pekee ndo anaweza kujifaharisha na likes na coments za instragram.
 
Kwani Mahari ni yake? au ya wenye mamlaka ya kuidhinisha ndoa hiyo (mjomba au baba)? Mila na dini zinasemaje?
Elimu tafadhali, huenda mahari na mtaji zina maana sawa kwa tamaduni !!!!
 
View attachment 716779 Mtangazaji wa Clouds Fm Loveness Malinzi maarufu kama Diva the bawse amefunguka kuwa hawezi akaolewa na mwanaume yoyote bila kutokew mahari ya shilingi milioni 500.

Hii sio mara ya kwanza kwa Diva kuweka kigezo cha kuolewa na mwanaume mwenye pesa mbele kwani mara nyingi amekuwa akisema kuwa hawezi akaolewa kwa mahari ndogo.

Siku ya jana kupitia ukurasa wake wa Instagram Diva amekumbushia Tena vigezo vikubwa kwa mwanaume ambaye atakubali amuoe ambavyo ni awe tajiri kiasi ya kwamba aweze kutoa mahari ya milioni 500 lakini pia awe anajua kuongea kingereza:

"Kunioa ni milioni 500….set that jokes aside am deadly serious….make sure uwe unaongea English yenyewe hasa… uwe smart uwe handsome…..uwe loaded…No broke niggas in 2018 tupendane kwa faida, you can say wheteves just heard worse, seen worse SMHFG Nothing mean to me…..harsh ain’t new to me I heard it all…..Mwenye povu hana hela ruksa na povu lako nina Omo na jiki plus toothbrush na Colgate jus there for you dummy”.

Diva ametangaza ruksa mwenye hizo sifa ajitokeze hii imekuja baada ya kuachana na mpenzi wake msanii wa Bongo fleva Heri Muziki baada ya kutoswa hewani.


Mpekuzi
Kwahiyo kile ki ben10 kilikuwa kinamgegeda kina huo mkwanja!? This nigress is so stupid!
 
Back
Top Bottom