yna12
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 1,936
- 2,317
Uko kizalishaMbn kicheko kikubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko kizalishaMbn kicheko kikubwa
Mmhhhh punguzapo kidogo twende sawaMimi $3000
Huhuh eeehhh maana anatupangia sanaaaUko kizalisha
Napunguza $500Mmhhhh punguzapo kidogo twende sawa
Nikununie wewe nifee!! We ndio pumzi yangu buanaMbn kicheko kikubwa
Nikikuambia huwez ninunia
HahahahAlimaanisha Mil 500 ya Zimbabwe
Punguza tena my yna12[emoji19][emoji28]Napunguza $500
Huu nao ni ukweli mchungu[emoji23] [emoji23] [emoji23]ameshajua hukuna anayemtaka kumuoa so anatafuta justification kuwa waoawaji wamekosa million 500 ndiyoomana amekua ajuza bila ndoa.
Huhuhu asante kwa kaneno kako kauzima kazuri kazuri .Nikununie wewe nifee!! We ndio pumzi yangu buana
Alaf kalimkataa vzr mpaka huruma yaniKale ka serengeti boy kalikomkana clouds mbona hakana hata mls 7?
Hivi anajua milioni mia tano unamilik mabasi mangapi ya kusafirsha watu mikoani? Tena hata akiwa ni nusu yake hawez pata!! Ameamua kutajirsha wazaz wake kwa mahari?View attachment 716779 Mtangazaji wa Clouds Fm Loveness Malinzi maarufu kama Diva the bawse amefunguka kuwa hawezi akaolewa na mwanaume yoyote bila kutokew mahari ya shilingi milioni 500.
Hii sio mara ya kwanza kwa Diva kuweka kigezo cha kuolewa na mwanaume mwenye pesa mbele kwani mara nyingi amekuwa akisema kuwa hawezi akaolewa kwa mahari ndogo.
Siku ya jana kupitia ukurasa wake wa Instagram Diva amekumbushia Tena vigezo vikubwa kwa mwanaume ambaye atakubali amuoe ambavyo ni awe tajiri kiasi ya kwamba aweze kutoa mahari ya milioni 500 lakini pia awe anajua kuongea kingereza:
"Kunioa ni milioni 500….set that jokes aside am deadly serious….make sure uwe unaongea English yenyewe hasa… uwe smart uwe handsome…..uwe loaded…No broke niggas in 2018 tupendane kwa faida, you can say wheteves just heard worse, seen worse SMHFG Nothing mean to me…..harsh ain’t new to me I heard it all…..Mwenye povu hana hela ruksa na povu lako nina Omo na jiki plus toothbrush na Colgate jus there for you dummy”.
Diva ametangaza ruksa mwenye hizo sifa ajitokeze hii imekuja baada ya kuachana na mpenzi wake msanii wa Bongo fleva Heri Muziki baada ya kutoswa hewani.
Mpekuzi
Mmmh ww mbona unamwekea miaka ming sana? 2022 itakua bure tena akiwa kwa mzee wa upako akitaka kuombewa apate mume2018 Kasema mahari M500
2022 atasema mahari M300
2025 atasema mahari M 100
2028 atasema mahari M10
2030 Ata andika uzi humu "natafuta mume " bila kuweka vigezo
Aah wapiAs long as atakuwa haendi chooni kama wanawake wengine au binadamu wengine basi tutatoa hiyo pesa....