Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
time will tell...hata mimi naungana na wewe kuomba mungu iwe kama unavyotamani iwe kwani katika mazingira ya kawaida tu nikifungua xxl nikamkosa b12 huwa napata sababu tosha ya kuhama stesheni.
Kama ni kweli kuna utovu wa nidhamu umetokea na kiongozi wao hawakuwa tayari kuuweka utovu huo hadharani....labda ni serious ishu...na hata mimi na wewe sidhani kama tutamvumilia mtu anayekuharibia ndani ili hali picha yake nje ni nzuri na anasifiwa kila kona.
Ukimfumania mkeo na houseboy wako ndani kwako, utamchekea kwa kuwa tu majirani wote wanakusifia kuwa wewe ndiye mwenye mke bomba mtaa mzima ?
All in all....twangala anaweza kurekebika kama ni kweli amekosea....namuaminia sana huyu mchizi....ila clouds kuja kuunda tena timu kama hii...sio kazi rahisi...na yeyote atakayewachukua amelamba dume.
Popote watakapopokelewa hii timu basi kuna uwezekano mkubwa wakaenda na mashabiki wao...clouds wawe tayari kwa ushindani mzito kwenye hili.
....au huu ujio wa azam unahusika....labda jamaa wameahidiwa donge nono...wakaambiwa waharibu ili watolewe nduki.....kesho na keshokutwa tutawasikia wapo azam tv........fetty naye mbona hasikiki.....ni shidaa.....
.....wakimchukua tena na millard........uuuuwiii...
clouds media group ni attention seeker and time will tell.
Hakuna aliye fukuzwa wa kusimamishwa trust me.
Huu mchezo ni maalum kwa sababu maalum.