DIVA, MCHOMVU&B-DOZEN hawajatimuliwa CLOUDS FM


clouds media group ni attention seeker and time will tell.

Hakuna aliye fukuzwa wa kusimamishwa trust me.

Huu mchezo ni maalum kwa sababu maalum.
 
clouds media group ni attention seeker and time will tell.

Hakuna aliye fukuzwa wa kusimamishwa trust me.

Huu mchezo ni maalum kwa sababu maalum.

Kama ndivyo itakavyokuwa basi hata sitojali aliyevumisha hizi habari za kufukuzwa ni nani.......bado nahitaji kusikiliza hawa jamaa....
 


Devide and rule...
 
Tatizo wabongo tunapoambiwa jambo la kweli huwa tunahisi kama tunadanganywa na pale tunapodanganywa ndo huwa tunaona ni sahih,Ruge Mutahaba alisema Clouds Media Group imewasimamisha kazi watu hao kutokana na kukiuka taratibu za kikazi lakin leo hii wabongo mnaona mnadanganywa.Vilevile pia ni vigumu kwa Ruge kudanganya kuwa vijana hao wamesimamishwa kwa kosa la utovu wa nidham kwa sababu kosa ilo litaharibu taswira ya watangazaj hao mbele ya jamii.Pia si mara ya kwanza kwa Adam Mchomvu kusimamishwa kazi pale kwa kosa la utovu wa nidhamu.
NOTE:Kwa mujibu wa Ruge:Watangazaji hao hawajatimuliwa kaz baliwamesimamishwa kutokana na utovu wa nidhamu.
 
Hivi divaa aliishia na Prezoo,na Zito
Maana akambwaga Zitto kisaa Prezooo

Dada yetu Ana bahati mbaya, anachagua sana wanaume harafu wakipita mala moja tu hawarudii, ndiyo hao kina Mo Rocker, Prezoo nk, sijui wanakuta nn huko, kungekuwa na miba tungewaoa wanatoka wanachechemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…