Diva na Niffer waandika ujumbe wa kuomba radhi baada ya kukamatwa kwa kuchangisha michango maafa ya Kariakoo

Mtangazaji wa Wasafi Fm Diva Malinzi na Mfanyabiashara Jenifer Jovin maarufu Niffer wameandika Barua za Kuomba Radhi (Kusamehewa) Baada ya Kupatikana na Tuhuma za Kuchangisha Michango kwa ajili ya Wahanga wa Janga la Kariakoo Bila Kufuata Utaratibu.
View attachment 3156868
Pia, Soma:

Polisi: Tunawashikilia Niffer na Diva kwa mahojiano na hatua nyingine za Kisheria

Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa

Baada ya Kutenda Makosa hayo Diva Malinzi (36) na Jenifer Jovin (25) Walikamatwa na jeshi La Polisi kwa ajili ya Mahojiano na Wameendelea Kubaki Mahabusu wakisubiria kupatiwa dhamana.
View attachment 3156869
Hivyo Kutokana na Kutambua Makosa Yao Wote wawili KWa Pamoja, Wameandika Jumbe za Kuomba Radhi na Kuomba Kusamehewa kwasababu walifanya hayo kwa kutokufahamu utaratibu, huku wakiahidi kutorudia tena na Kuwa Mabalozi wazuri kwenye Jamii.
kumbe kajukuu ka mzee bilikwija kasameheni tu babu yake alikuwa mtumishi mzuri sana wa umma, majaliwa hebu wachana na hii mambo utakuja funga wajukuu wa wasaidizi wako
 
Huyo niffer aendelee kushikiliwa hata barua ameandika kwa dharau pia na haijanyooka waziri mkuu shikilia hapohapo adabu imwingie alijua anaweza kutupeleka peleka kama anavyompelekesha mama yake..
Aahaha tapeli yule anajifanya yupo china af anawaambia watu tume pesa niwanunulie vitu kumbe anatafuta nauli ya kurudia na ukimfwata inbox anakujibu ovyo
 
Mtangazaji wa Wasafi Fm, Diva Malinzi na Mfanyabiashara Jenifer Jovin maarufu Niffer wameandika barua za kuomba radhi (Kusamehewa) baada ya kupatikana na tuhuma za kuchangisha michango kwa ajili ya Wahanga wa janga la Kariakoo bila kufuata utaratibu.
Pia, Soma:

Polisi: Tunawashikilia Niffer na Diva kwa mahojiano na hatua nyingine za Kisheria
Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa
Jeshi la Polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo

Baada ya kutenda makosa hayo Diva Malinzi (36) na Jenifer Jovin (25) walikamatwa na jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano na wameendelea kubaki mahabusu wakisubiria kupatiwa dhamana.
Hivyo kutokana na kutambua makosa yao wote wawili kwa pamoja, wameandika jumbe za kuomba radhi na kuomba kusamehewa kwasababu walifanya hayo kwa kutokufahamu utaratibu, huku wakiahidi kutorudia tena na Kuwa Mabalozi wazuri kwenye Jamii.
Sema Dah mwandiko wa diva🤣ni treni ya TRC ya zamani Ile inayopita mwananchi
 
Diva mwandiko wake hauendani na ile sauti yake yakumtoa nyoka pangoni 😂😂😂 Nifah anashawishii...wawasamehee na wapongezwe kwa kujitoa..maana hata wao serikali, wamekimbilia kuchangisha baada ya kuona watu wamechanga...kosa ni la serikali, kwanini ? Kama wanaowajibu mchakato ungeenza mapema maana watu walihitaji hiyo misaada...
 
Huyo niffer aendelee kushikiliwa hata barua ameandika kwa dharau pia na haijanyooka waziri mkuu shikilia hapohapo adabu imwingie alijua anaweza kutupeleka peleka kama anavyompelekesha mama yake..
Mazingira mtu anayokulia ndiyo yanayom shape mtu jinsi gani ya kufikiria. Pia, mazingira yanayomzunguka na anayoyazunguka nayo yana shape kiwango cha mtu kufikri!

Simtetei huyo Niffer, kiukweli barua ameandika kidharau. Ila nafikiri tatizo ni uelewa wake.

Yeye anaweza kujiona yupo sahihi au kwa upande wake anafikiria serikali inaweza kumuona mwanamke ambaye amejitolea kuisaidia jamii ikikumbwa na maafa....hahaha! ....kumbe huo uandishi unaashiria ni dharau!
 
Mtangazaji wa Wasafi Fm, Diva Malinzi na Mfanyabiashara Jenifer Jovin maarufu Niffer wameandika barua za kuomba radhi (Kusamehewa) baada ya kupatikana na tuhuma za kuchangisha michango kwa ajili ya Wahanga wa janga la Kariakoo bila kufuata utaratibu.
Pia, Soma:

Polisi: Tunawashikilia Niffer na Diva kwa mahojiano na hatua nyingine za Kisheria
Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa
Jeshi la Polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo

Baada ya kutenda makosa hayo Diva Malinzi (36) na Jenifer Jovin (25) walikamatwa na jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano na wameendelea kubaki mahabusu wakisubiria kupatiwa dhamana.
Hivyo kutokana na kutambua makosa yao wote wawili kwa pamoja, wameandika jumbe za kuomba radhi na kuomba kusamehewa kwasababu walifanya hayo kwa kutokufahamu utaratibu, huku wakiahidi kutorudia tena na Kuwa Mabalozi wazuri kwenye Jamii.
WAMEFANYA KOSA LINALOFANANA HADI MIANDIKO INAFANANA...😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom