Diva na Niffer waandika ujumbe wa kuomba radhi baada ya kukamatwa kwa kuchangisha michango maafa ya Kariakoo

kumbe kajukuu ka mzee bilikwija kasameheni tu babu yake alikuwa mtumishi mzuri sana wa umma, majaliwa hebu wachana na hii mambo utakuja funga wajukuu wa wasaidizi wako
 
Huyo niffer aendelee kushikiliwa hata barua ameandika kwa dharau pia na haijanyooka waziri mkuu shikilia hapohapo adabu imwingie alijua anaweza kutupeleka peleka kama anavyompelekesha mama yake..
Aahaha tapeli yule anajifanya yupo china af anawaambia watu tume pesa niwanunulie vitu kumbe anatafuta nauli ya kurudia na ukimfwata inbox anakujibu ovyo
 
Sema Dah mwandiko wa diva🤣ni treni ya TRC ya zamani Ile inayopita mwananchi
 
Diva mwandiko wake hauendani na ile sauti yake yakumtoa nyoka pangoni 😂😂😂 Nifah anashawishii...wawasamehee na wapongezwe kwa kujitoa..maana hata wao serikali, wamekimbilia kuchangisha baada ya kuona watu wamechanga...kosa ni la serikali, kwanini ? Kama wanaowajibu mchakato ungeenza mapema maana watu walihitaji hiyo misaada...
 
Huyo niffer aendelee kushikiliwa hata barua ameandika kwa dharau pia na haijanyooka waziri mkuu shikilia hapohapo adabu imwingie alijua anaweza kutupeleka peleka kama anavyompelekesha mama yake..
Mazingira mtu anayokulia ndiyo yanayom shape mtu jinsi gani ya kufikiria. Pia, mazingira yanayomzunguka na anayoyazunguka nayo yana shape kiwango cha mtu kufikri!

Simtetei huyo Niffer, kiukweli barua ameandika kidharau. Ila nafikiri tatizo ni uelewa wake.

Yeye anaweza kujiona yupo sahihi au kwa upande wake anafikiria serikali inaweza kumuona mwanamke ambaye amejitolea kuisaidia jamii ikikumbwa na maafa....hahaha! ....kumbe huo uandishi unaashiria ni dharau!
 
WAMEFANYA KOSA LINALOFANANA HADI MIANDIKO INAFANANA...😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…