Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
Kwa kweli nimefurahia hiyo English yake ,hii Ni mara ya pili kusikia jina Diva mara ya Kwanza niliona anataka mahari ya million 500 ndio nakaanza kumfuatilia Leo ndio nimeona Kwa you tube ,Kwa kweli Yuko vizuri angefaa Kuwa mtangazaji wa CNN OR FOX NEWS Au CBS ya USA ,ENGLISH YAKE SIO YA KUBORONGA ,
Kumbeee...!Team malinzi aka TFF
Bas mkuu hahahaha mbavu zangu wee yaani ni bahari sioHehehehehe
Mashine yenyewe breki pumbu halaf niambiwe mahari nusu bilioni
Kik katika ubora wake waaache wapange mahali alafu mwisho wa siku Mara oooooh Nina gundu Mara nimelogwa tatizo utundu kitandani ni ziro kabisa hakuna kitu hapo
Mtangazaji wa kituo cha Redio cha Clouds FM, DIVA ameweka wazi kuwa kwa sasa hayupo single tayari ameshapata Boyfriend mpya baada ya kumwagana na mwanamuziki Heri Muziki.
Diva amesema kuwa mwanaume huyo tayari ameshakubali kulipia mahari ya shilingi milioni 500 ingawaje kwa sasa amekataa kumuweka wazi kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa upande mwingine Diva amesema kuwa kwa sasa anapata tabu kweli kutoka kwa mwanaume kitu ambacho kinamfanya abadilishe laini mara saba kwa mwezi.