Diva: Nimeshampata boyfriend mpya mwenye uwezo wa kulipa milioni 500

Diva: Nimeshampata boyfriend mpya mwenye uwezo wa kulipa milioni 500

26335897_425087954578322_516944166417072128_n-1.jpg
 
Yani na hiyo miwani ndio ameonekana mbaya zaidi.

Wanaume kazi kwenu
 
Kwa kweli nimefurahia hiyo English yake ,hii Ni mara ya pili kusikia jina Diva mara ya Kwanza niliona anataka mahari ya million 500 ndio nakaanza kumfuatilia Leo ndio nimeona Kwa you tube ,Kwa kweli Yuko vizuri angefaa Kuwa mtangazaji wa CNN OR FOX NEWS Au CBS ya USA ,ENGLISH YAKE SIO YA KUBORONGA ,

Jibu langu kwa hili laweza kuwa YES and NO! Huyu anaweza kuongea English nzuri ya vi sentensi vifupi vifupi ambavyo hata Harmorapa, Shilole, Giggy wanaweza ku rehearse wakakariri. Lakini kwa one-on-one serious interview kama ya Hard Talk kwa lisaa hata limoja tu, huyo ataomba poo na pumba zitakuwa kibao!

Hata hivyo hongera zake kwa kupata mchumba wa kulipa 500M. Nadhani wahenga walipatia waliposema 'Ndege wafananao huruka pamoja'. Kwa hiyo huyo 500M babe atakuwa wa type yake!
 
na rideo Lao la matangozo mengi ya biashara yaani nyimbo moja matangozo zaidi ya 10
 
na rideo Lao la matangozo mengi ya biashara yaani nyimbo moja matangozo zaidi ya 10
 
1. Milioni mia tano
2. 500,000,000/=

Kama bado ni ahadi;sawa.

Hata kama angekuwa na pesa kama Bakhresa, akitoa hiyo mil. 500 ataisikitikia mno kwa mtu kama Diva.
 
Yaani Pimp ndio wanaita meneja siku hizi?
 
Ule utafiti unaosema kila Watanzania wanne mmoja ana kichaa sasa nimeuamini
 


Mtangazaji wa kituo cha Redio cha Clouds FM, DIVA ameweka wazi kuwa kwa sasa hayupo single tayari ameshapata Boyfriend mpya baada ya kumwagana na mwanamuziki Heri Muziki.

Diva amesema kuwa mwanaume huyo tayari ameshakubali kulipia mahari ya shilingi milioni 500 ingawaje kwa sasa amekataa kumuweka wazi kwenye mitandao ya kijamii.

Kwa upande mwingine Diva amesema kuwa kwa sasa anapata tabu kweli kutoka kwa mwanaume kitu ambacho kinamfanya abadilishe laini mara saba kwa mwezi.

Kik katika ubora wake waaache wapange mahali alafu mwisho wa siku Mara oooooh Nina gundu Mara nimelogwa tatizo utundu kitandani ni ziro kabisa hakuna kitu hapo
 
Back
Top Bottom