Diva: Nimeshampata boyfriend mpya mwenye uwezo wa kulipa milioni 500

Diva: Nimeshampata boyfriend mpya mwenye uwezo wa kulipa milioni 500

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506


Mtangazaji wa kituo cha Redio cha Clouds FM, DIVA ameweka wazi kuwa kwa sasa hayupo single tayari ameshapata Boyfriend mpya baada ya kumwagana na mwanamuziki Heri Muziki.

Diva amesema kuwa mwanaume huyo tayari ameshakubali kulipia mahari ya shilingi milioni 500 ingawaje kwa sasa amekataa kumuweka wazi kwenye mitandao ya kijamii.

Kwa upande mwingine Diva amesema kuwa kwa sasa anapata tabu kweli kutoka kwa mwanaume kitu ambacho kinamfanya abadilishe laini mara saba kwa mwezi.
 
Kwa kweli nimefurahia hiyo English yake ,hii Ni mara ya pili kusikia jina Diva mara ya Kwanza niliona anataka mahari ya million 500 ndio nakaanza kumfuatilia Leo ndio nimeona Kwa you tube ,Kwa kweli Yuko vizuri angefaa Kuwa mtangazaji wa CNN OR FOX NEWS Au CBS ya USA ,ENGLISH YAKE SIO YA KUBORONGA ,
 
Back
Top Bottom