Juma chief
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 2,764
- 2,366
Mkuki kwa nguruwe......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SWALI ZURI SANAMbona wao hawapigi nyimbo za jay dee..!
Haoni hata aibu wasanii kibao hawapigi nyimbo zao hata wao nyimbo za watangazaji wa media nyingine hawapigi![]()
Mtangazaji wa Clouds FM, Diva amesema nyimbo zake pamoja na za mtangazaji mwenzake, Adam Mchomvu zinabaniwa na redio zingine, kitu ambacho anaona si sawa.
Anasema redio za mikoani ndizo zimekuwa zikiwapa support bila kujali kuwa wanatoka Clouds lakini redio karibu zote za Dar zimekuwa zikibania nyimbo zao.
Diva ambaye anaandaa album yake, The Life of The Diva, amesema kuwa hicho ni kitu ambacho angependa kuona kinafutika.
“Mimi naona wako so unprofessional, mbona sisi Clouds FM watu wazuri, mimi Sam Misago kaja, katoa wimbo ataitwa kwenye XXL nyimbo yake itachezwa, sisi mbona nyimbo zetu hamchezi?” amehoji Diva.
“Nilipeleka nyimbo East Africa Radio na ina haki zote za kuchezwa na haikuchezwa kwasababu natoka Clouds Media, kwanini wanatufanyia hivi? Hii ni biashara, wao wafanye kazi zao, na sisi tufanye kazi zetu lakini when it comes to music, sisi tunafanya serious kabisa,” amesisitiza.
Chanzo: Bongo 5
Bora umesemaSiku hizi mziki umekua mwepesi sana.. kila mtu anataka aimbe tu. Sasa huyu anaimba nini? Mwenye iyo nyimbo ake tafadhar
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Kama kweli yuko siriaz leo usiku nasisitiza leo apige wimbo wa jide ndi ndi ndi
Karolite imemkubali plus 360Kumbe kawa cheupe siku hizi,maana sijamuona kitambo sana.
Mbavu zanguuuuDiva ni mwanamuziki mmoja mzuri sana kuwahi kutokea hapa tanzania...Sema ana ishu mbili tu ambazo akizisolve atakuwa juu kuliko hata v-money na Jide...Tatizo ni kuwa hajui kuimba na kutunga TU..........Akiweka sawa hayo tu......Aaaaaaah mbona mtapagawa
Hizo ni changamoto ndogo ndogo tu lakini binti ni mwanamuziki mzuri sana, akijua tu kuimba na kutunga basi atakuwa juu sanaDiva ni mwanamuziki mmoja mzuri sana kuwahi kutokea hapa tanzania...Sema ana ishu mbili tu ambazo akizisolve atakuwa juu kuliko hata v-money na Jide...Tatizo ni kuwa hajui kuimba na kutunga TU..........Akiweka sawa hayo tu......Aaaaaaah mbona mtapagawa
Diva ni mwanamuziki mmoja mzuri sana kuwahi kutokea hapa tanzania...Sema ana ishu mbili tu ambazo akizisolve atakuwa juu kuliko hata v-money na Jide...Tatizo ni kuwa hajui kuimba na kutunga TU..........Akiweka sawa hayo tu......Aaaaaaah mbona mtapagawa
kamejaribu kutengeneza kiki eti kanatakwa na bill nas lakini wapi watu wameshazishtukia kiki zao za kishamba hizo![]()