Diva: Nyimbo zangu zinabaniwa sana kupigwa Redioni

Diva: Nyimbo zangu zinabaniwa sana kupigwa Redioni

Am serious mkuu....We imagine kama ataamua ku outsource hizo ishu mbili.....Akampa Jay dee kazi ya kumtungia wimbo, kisha akampa v money tenda ya kuuimba...Unadhani patatosha hapo...Diva ni noma yani
Mwee sa yeye afanye nini tena
 
Hivi kuna mtu amewahi kuusikia wimbo wa diva? Na kwakweli nyimbo za Adam nimesikia moja lakini sidhani kama ni heat
Kuna wimbo diva aliimba na diamond na ndo chanzo cha bifu Lao nilikuwa nauskia mawingu fm
 
Hizi camera na filters naona zinatumika ipasavyo na wadada wa mujini.
Fake fake fake....
Kuimba aawachie kina Maua Sama,yeye endelea kubana pua.
 
Am serious mkuu....We imagine kama ataamua ku outsource hizo ishu mbili.....Akampa Jay dee kazi ya kumtungia wimbo, kisha akampa v money tenda ya kuuimba...Unadhani patatosha hapo...Diva ni noma yani
Mwee sa yeye afanye nini tena
 
hahaha mama zitto kwa kwl leo umechekesha walionuna
 
Sio Lazima wote tuwe wanamuziki -Mtazamo (Afande Sele)
 
pole diva mm nilijua nyimbo ikipgwa mawingu ww ni msanii mkubwa na zako zinapgwa wajiona bado
 
Diva ni mwanamuziki mmoja mzuri sana kuwahi kutokea hapa tanzania...Sema ana ishu mbili tu ambazo akizisolve atakuwa juu kuliko hata v-money na Jide...Tatizo ni kuwa hajui kuimba na kutunga TU..........Akiweka sawa hayo tu......Aaaaaaah mbona mtapagawa

Kama sijakuelewa vile? .[emoji2] .
Umesema
Diva ni mwanamziki mzuri sana ila hajui kuimba + kutunga.!!![emoji15]

[emoji102] Una maanisha ana sauti nzuri ya kuimba ama?
 
Mmh! Huyu c ndo yule mtangazaj akkutaka tu anakurusha knoma kwa kpnd chake..
 
siku moja akijielewa ndo atajua kwann hawapigi nyimbo zake,dada angu hujui kuimba,basi
 
Duh...huyu demu alikuwa black hatari wakati nasoma nae shule ya msingi(st kayumba) nasikia siku hizi akiulizwa kasoma wapi anasema kasoma shule za kishua kweli maajabu hayataisha tanzania
 
Diva ni mwanamuziki mmoja mzuri sana kuwahi kutokea hapa tanzania...Sema ana ishu mbili tu ambazo akizisolve atakuwa juu kuliko hata v-money na Jide...Tatizo ni kuwa hajui kuimba na kutunga TU..........Akiweka sawa hayo tu......Aaaaaaah mbona mtapagawa
Mkuu comment yako imenichekesha sana..daaa Diva akiiona atalia..
 
Haaa nliskia anga fm waki kubania kimuzik hutok naona wana bania hata watu wao
Ni sawa na kuzoea kula nyama ya mtu adi ndugu zako unaeza ukala, nakaaga sku nzima cskii wimbo wa diva pale pale anga fm sasa labda kama nao ana wasema
 
Sio mwimbaji huyo....abaki akiimba akiwa anaoga tu bafuni au akiwa anakata gogo
 
Mbona diva katoka kimuziki ana wasiwasi gani Sasa si aje afanye show kigoma huku na le mutuz itabamba kinoma noma
 
Back
Top Bottom