Diva: Nyimbo zangu zinabaniwa sana kupigwa Redioni

Wanasema msanii hata nyimbo yake ipigwe na radio zote ndani ya tanzania haiwez kua lolote kama haitachezwa clouds fm, kwa muktadha huo ni sawa na kusema kua nyimbo ikichezwa clouds fm pekee yake pasipo kuchezwa na radio nyingine inatosha kumpa umaarufu msanii husika. Kwaiyo sioni hao watangazaji kulalamika
 
Haoni hata aibu wasanii kibao hawapigi nyimbo zao hata wao nyimbo za watangazaji wa media nyingine hawapigi
 
Mbavu zanguuuu
 
Hizo ni changamoto ndogo ndogo tu lakini binti ni mwanamuziki mzuri sana, akijua tu kuimba na kutunga basi atakuwa juu sana
 

Haahaaaaaaa pokea likes 10000000.
Aiseee nimecheka.
 
kamejaribu kutengeneza kiki eti kanatakwa na bill nas lakini wapi watu wameshazishtukia kiki zao za kishamba hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…