Diva: Siwezi kuingia kwenye mahusiano na mwanaume asiyejua kuongea kingereza

Kwani GK ni mjuvi wa lugha ya malkia au mbwembwe tu za huyu manzi?
 
Mjinga huyu demu ajui mapenzi hayana kingereza kwan anasuguliwa na kingereza au ile yenyewe aina ubaguzi
 
Naona anazidi kuzeeka tu na haolewi zaidi ya kuliwa na vijana wa mjini.
Ngoja awe bibi ndio atajua thamani ya mwanaume ipo kwenye Utu na Upendo na wala sio kujua kiingereza, kifaransa nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…