PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Ohoooo!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo namba wani wetu hawezi kupewa Mzigo kwa kuwa hajui kimombo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohoooo!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo namba wani wetu hawezi kupewa Mzigo kwa kuwa hajui kimombo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nani a-date na mtu mwenye kichwa kama FIAT?
Weka kapicha tumuone kwanza
Wekeni kapicha kake basi
ngoja watu wam-hack, kisha wamdelete lugha ya kiingereza tuu, alafu tuone atafanya nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ingekua kuna kitufe cha kudelete sehemu ya maisha,angefuta hicho kipande
Sasa aende wapi akaongee kizungu?BBC world service upande was Radio ili wakuchukue, sio tu kiingereza hata content matters.
Allan Kasuja,Steven Sucker etc. Hawaongei hiki cha you are so sweet,I am delighted,sapraiiiizi. In terms za uchumi,siasa. Na hata vipindi vyao vilivyo social kama OUTLOOK wanazungumza kwa namna ya kipekee.
Abashaija tulaboine
kachwekemu kuli...
Upo safarini sasa mzee UshiromboEbu ngoja kesho nifunge safari toka Ushirombo to Dar, nikamuone Ras Simba.....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
hivi diva hajui kuna wanaume wengine wana phd kabisa lakini kujieleza kwa kimombo hawajui, na waoga kuongea na wazungu hata ukiwa na semina ya muhimu wanatakiwa kwenda nje bora wasingizie chochote lakini wasiende kwasababu wakifika kule watahitaji kujieleza kwa kimombo, na watu wakiipima phd yake na kimombo anachoongea wanaona itakuwa aibu. hao ndio wamejaa kwenye ofisi kama wakurugenzi na viongozi mbalimbali.Wasalaam wana jamvi.
Mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, Diva The Bosslady amefunguka kwa kudai kuwa hawezi kudate na mwanaume ambaye hajui kuongea kingereza kwa kuwa yeye katika maisha yake huongea Kiingereza zaidi kuliko Kiswahili.
Akiongea na waandishi wiki hii, Diva amedai wanaume ambao amewahi kutokana nao wanazungumza lugha hiyo ambayo amedai inamvutia sana.
"Sipendi mwanaume ambaye hajui Kiingereza, napenda kudate na mwanaume ambaye anajua Kiingereza," alisema Diva.
"Yaani imetulia na inapendeza kwa sababu siyo local local, wapo ambao waliwahi kunitokea lakini baada ya kujua hawajui kingereza nikawatosa,"
Alisema wanaume wake wengi anakutana nao kwa mara ya kwanza kupitia kipindi chake cha Ala za Roho kwa kuwa ndio sehemu ambayo atakutana na watu mbalimbali.
Mtangazaji huyo ambaye pia ni muimbaji wa muziki kwa sasa anatoka kimapenzi na muimbaji 'Heri Muziki'.
Ndio inavyokuwa mkuu. Tumpe muda[emoji3] .Anajizeekea tu!
Siku akijishtukia umri umeenda ataokotwa na mswahili wa kawaida sana
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Akiongea na waandishi?? Seriously?