Diva: Siwezi kuingia kwenye mahusiano na mwanaume asiyejua kuongea kingereza

Diva: Siwezi kuingia kwenye mahusiano na mwanaume asiyejua kuongea kingereza

Teh teh..In JPM voice

Haha kausha bro, mkuu hataki utani kabisa.

C4SypsEWQAAFlIo.jpg
 
>> Tatizo Atakuwa anapewa vitu Laini laini ndio maana anataka kiingereza mpeni mapigo aongee kichina ''' nihao ''>>
 
Mnona demu wa kawaida sana, kiwango cha chin mno, hizo ni kiki tu na kutaka kuteka attention za watu
 
Akina mutashobya utawajua tu, mbwembwe kibao
 
Back
Top Bottom