Diva: Siwezi kuingia kwenye mahusiano na mwanaume asiyejua kuongea kingereza

Mmmmmh! Sauti tu kabarikiwa ila sura kama bokooo af anajikuta sanaaah huyu Manziiiiii!
 
>> Tatizo Atakuwa anapewa vitu Laini laini ndio maana anataka kiingereza mpeni mapigo aongee kichina ''' nihao ''>>
 
Mnona demu wa kawaida sana, kiwango cha chin mno, hizo ni kiki tu na kutaka kuteka attention za watu
 
Akina mutashobya utawajua tu, mbwembwe kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…