Diva the Bawse: Ni kweli kabisa sijui kupika, ila Mahari yangu ya 'Kuolewa' ni Shilingi Bilioni 10

HUenda ana makalio makubwa
 
Ndo maana throughout year yuko bize na party

Jana alikuwa na ya wapika chapati
Na hzo shuhuli zake ndo zilimfanya
Nchakali akabwaga manyanga
Na mada zake nyingi n kutoa wanawake wenzake kwenye ndoa

Yani anaparty Kama 3 Kwa mwaka huyu mama
 
Reactions: Lee
Na hzo shuhuli zake ndo zilimfanya
Nchakali akabwaga manyanga
Na mada zake nyingi n kutoa wanawake wenzake kwenye ndoa

Yani anaparty Kama 3 Kwa mwaka huyu mama

Kumbe alikuwa wa Nchakali ...

Huyu ni mmoja anayewaponza masingle mazeliiiiii
 
Hahhah kweli mkuu,,
Maana nuh alipita na diva miaka hio ya giza ,
Kipindi nuh hata hela kandambili hana analala kwao anakula kwao ila hata hamkumbuki huyo bibi.
Huku
Anamlilia shishi kila siku.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nuh n Kama kaona
Biashara ya shishifood imeshika
Moto vizur sasa anajuta kuachwa[emoji1][emoji1]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nuh n Kama kaona
Biashara ya shishifood imeshika
Moto vizur sasa anajuta kuachwa[emoji1][emoji1]
Hahaha,
Shishi mtu mzito sasaivi connection nyingi sana na watu wazito wa nchi hii,
biashara zimemnyokea,
hela ipo nyingi sana.
Sa Ukifkiria alikua X wako na we mambo bila bila bado lazma uchanganyikiwe.
 
Hahaha,
Shishi mtu mzito sasaivi connection nyingi sana na watu wazito wa nchi hii,
biashara zimemnyokea,
hela ipo nyingi sana.
Sa Ukifkiria alikua X wako na we mambo bila bila bado lazma uchanganyikiwe.
Kabsa yani now shilole kudanga
Naona kaacha ameshika connection
Nyingi Sana alaf biashara imemkubali

Jana naona alikua kwenye office za RC
Dodoma na anakarbia kufungua
Branch yake nyingine hapo dom
 
Diva haoni wa kumuoa kwa hiyo ili kuwahadaa watu ametaja mahari hiyo ili apate sababu ya kusema haolewi kwa kuwa hakuna aliye afford kumlipia mahari

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Sio kufka bei mkuu yani
Huwez toa hata milion kununua
Mdangaji Kama Yule
 
Maji ya jioni hayo kashajua hakuna wa kumuoa tena
 
Lengo lake limetimia,
Shida yake ni watu wamzungumzie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…