Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Huyo KENGE anayejifanya ana hela analilia mshahara wa laki 6 kwa miezi minne? Si alisema kwa mwezi analipa USD 2500 apartment? Si aachane nazo tu.Mtangazaji mashuhuri wa habari na burudani, Diva the Boss , amejitokeza na kuishutumu waziwazi kampuni ya Wasafi Media kupitia ujumbe mzito alioochapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram mnamo Septemba 15, 2026 .
Diva amechukua hatua hiyo ya kuweka wazi hisia zake ili kupaza sauti na kuiomba serikali, ikiwa ni pamoja na kumtaja Mheshimiwa Mwigulu Nchemba na Ikulu Mawasiliano, imsaidie kupata haki yake baada ya kuvumilia ahadi hewa na kuzungushwa kwa muda mrefu bila kulipwa jasho lake.
Mtangazaji huyo ameeleza kuwa amefanya kazi hiyo kwa kujituma hadi usiku wa manane lakini amesalia bila kupata hata senti tano kwa miezi minne sasa, jambo lililomfanya alie kwa uchungu na kuamua kuwashirikisha Watanzania mitandaoni ili kumsaidia kushinikiza malipo hayo .
View attachment 3671747
View attachment 3671748
Siku zote alikuwa anaringia Mbunye yake na Uzuri wake huku akiwa na Dharau nyingi za Kihaya inakuwaje tena leo anatia huruma na kutaka asaidiwe?Mtangazaji mashuhuri wa habari na burudani, Diva the Boss , amejitokeza na kuishutumu waziwazi kampuni ya Wasafi Media kupitia ujumbe mzito alioochapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram mnamo Septemba 15, 2026 .
Diva amechukua hatua hiyo ya kuweka wazi hisia zake ili kupaza sauti na kuiomba serikali, ikiwa ni pamoja na kumtaja Mheshimiwa Mwigulu Nchemba na Ikulu Mawasiliano, imsaidie kupata haki yake baada ya kuvumilia ahadi hewa na kuzungushwa kwa muda mrefu bila kulipwa jasho lake.
Mtangazaji huyo ameeleza kuwa amefanya kazi hiyo kwa kujituma hadi usiku wa manane lakini amesalia bila kupata hata senti tano kwa miezi minne sasa, jambo lililomfanya alie kwa uchungu na kuamua kuwashirikisha Watanzania mitandaoni ili kumsaidia kushinikiza malipo hayo .
View attachment 3671747
View attachment 3671748
Diva ni msambaa kama,sio mzigua hajawah kuwa muhaya. Mama ake mdogo alie mlea ndo ameolewa uhayani.Siku zote alikuwa anaringia Mbunye yake na Uzuri wake huku akiwa na Dharau nyingi za Kihaya inakuwaje tena leo anatia huruma na kutaka asaidiwe?
Wana CCM, na wapenda amaniwatanzania wapi anao taka wamsaidie Kupaza sauti? asisahau alivyokua anawabeza kuanzia oct 29 mpka hii ya 77
Aliringia mbunye yake? Kivip?Siku zote alikuwa anaringia Mbunye yake na Uzuri wake huku akiwa na Dharau nyingi za Kihaya inakuwaje tena leo anatia huruma na kutaka asaidiwe?
Kuna muda huwa najiuliza hivi huwa wanapata faida gani pale wanapojikweza kwa mambo makubwa huku nyuma ya pazia ni watu wa hali za kawaida kabisa?Huyo KENGE anayejifanya ana hela analilia mshahara wa laki 6 kwa miezi minne? Si alisema kwa mwezi analipa USD 2500 apartment? Si aachane nazo tu.
Wanajifanya wanalinda BRAND ambayo hawana ๐ ๐Kuna muda huwa najiuliza hivi huwa wanapata faida gani pale wanapojikweza kwa mambo makubwa huku nyuma ya pazia ni watu wa hali za kawaida kabisa?
Kwa Kweeeli.Wanajifanya wanalinda BRAND ambayo hawana ๐ ๐