SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,016
- 13,780
Alisema million 500Ndiyo Yule wa mahari milioni tano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alisema million 500Ndiyo Yule wa mahari milioni tano
Mtoto wa Malinzi kawa muuru tena?Kwanza ana sura mbaya yaani umbo baya kichaga cha Uru kishumundu wanaitwa NDANYINYI- VIPINGILI. Kitabia ni Dada poa anaeelekea ukingoni. Watoto vivulana wapenda kuuza sura wajipigie tu punching Bag lao. Sio watu serious. Ptyuuu.
She must be joking....lkn kama alikuwa serious basi ana kichaa cha majira!Alisema million 500
Umepotea sana tichaKupitia diva ndo utajua kuwa "kungwi haolewi"
Mi nipo sanaUmepotea sana ticha
Karibu sana [emoji41]Mi nipo sana
Kam mwanaume hajui kiingilish hamtakiYule dada huwa haishi uhalisia...ni kama ulivyoandika anapenda kuishi kimovie movie
Halafu ana utoto utoto mwingi wakati ni mkubwa
Mara ya mwisho nilisikia anatafuta njia za kupata mtoto
Mkuu hivi mtu anajiita Crazy atadumu kwenye mparachichi??? Hahahaameachana na crazy GK?
Ndio anataka muingereza mwenzake 😂😂Kam mwanaume hajui kiingilish hamtaki
Ana miaka mingapi ?
na mchango alikuwa anataka aende akapandizikizwe mbegu sijui?Yule dada huwa haishi uhalisia...ni kama ulivyoandika anapenda kuishi kimovie movie
Halafu ana utoto utoto mwingi wakati ni mkubwa
Mara ya mwisho nilisikia anatafuta njia za kupata mtoto
Anakaribia 40Ana miaka mingapi ?
Kumbe mzuri